Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell WICKNELL Chivayo, mfanyabiashara maarufu kutoka Zimbabwe aliyefariki hivi karibuni, anadaiwa kuacha madeni ya magari ya takriban dola za Marekani milioni 5.1.
Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa na chombo cha habari cha ZimLive, Oktoba 20, 2026, anadaiwa kuwaacha wafanyabiashara watatu wa magari wakiwa na madai ya madeni yanayofikia kiasi hicho cha pesa.
Ripoti hiyo imewataja wafanyabiashara wanaodaiwa kuwa na madai hayo ni Faramatsi Motors, inayodaiwa kudai dola milioni 2.4, Exquisite Cars yenye madai ya dola milioni 1.4, na Enterprise Car Sales inayodaiwa kudai dola milioni 1.3.
Soma Pia: Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta
Ripoti inaeleza kuwa Chivayo alikuwa akipata magari ya kifahari kwa utaratibu wa mkopo uliomwezesha kulipa baadaye, kwa kawaida ndani ya miezi mitatu.