Chivayo atembelea tena Tanzania na kupita Ikulu, unadhani maongezi yao yalihusu nini?

Chivayo atembelea tena Tanzania na kupita Ikulu, unadhani maongezi yao yalihusu nini?

Ndio amewquzia silaha zile zilizotumika kuongeza nguvu mauaji yale.....deal kaleta huyo Bonge ....na Angela...wao
Hisia zangu huyu dogo Chivayo na Angela Kizigha wanamuendesha Mwajuma kwa kushirikiana, yaani hapo Mwajuma ni korongwee wao hachomoi.
 
Hebu Tutafuteni hela tu wala hatujui wanaongea nini...Tukomae na familia zetu tutoboe tukae juu, Kwa mifumo ya nchi za kiafrika hata ulalamike ukiwa uchi hakuna kinachobadilika....Tutafuteni pesa wazee, Kwa nguvu zote maana hakuna asiyejua kinachoendelea nchi hii, au mshasahau hata CAG report ya juzi?.
Ku-chat hapa kunakuzuia vipi kutafuta pesa, don't take life too seriously. Balancing between responsibility and joy is necessary for your mental well-being.
 
Ku-chat hapa kunakuzuia vipi kutafuta pesa, don't take life too seriously. Balancing between responsibility and joy is necessary for your mental well-being.
Sasa mnavyolalamika kuhusu bonge maana Yake nini?, unafikiri kulalamika Kila wakati ni nzuri Kwa afya ya akili?...
 
Hebu Tutafuteni hela tu wala hatujui wanaongea nini...Tukomae na familia zetu tutoboe tukae juu, Kwa mifumo ya nchi za kiafrika hata ulalamike ukiwa uchi hakuna kinachobadilika....Tutafuteni pesa wazee, Kwa nguvu zote maana hakuna asiyejua kinachoendelea nchi hii, au mshasahau hata CAG report ya juzi?.
Inaonekana watu wa huko Kaskazini wamewekeza sana, ngumu sana watu wa Mugumu Serengeti kuwapokonya tonge lao

1 SEPTEMBER 2026
MAMIA KWA MAMIA YA MAGARI MAALUM YA KUTALII MKOA WA ARUSHA NA MIUNDO MBINU YAKE / DRIVING ARUSHA TO KARATU | Beautiful Tanzania, Gateway to Ngorongoro and Serengeti

View: https://m.youtube.com/watch?v=A8PRLGGCrxc
 
Back
Top Bottom