Umechelewa.Hilo tayari limeshafanyika hapahapa JF!Atatokea mtu, atasema ametengenezewa ajali ili hizo siri zisifichuke.
Nadharia njama πUmechelewa.Hilo tayari limeshafanyika hapahapa JF!
The "C" and the "T" put alongside,huh? Charlie to the Tango! Conspiracy theory!Nadharia njama π
Himaya yake ya Marondera ipigwe search,aside na kumbukubu zaa Africa nzima.Chivayo itakuwa alikuwa ni fixer (kishoka) na dalali wa watawala, matajiri na watu wakubwa maarufu Africa. Ipo siku deals alizokuwa anafanya na watawala zitakuja kufumuka na kuwa wazi hadharani.
Haiwezekani ikawa hakuwa na insurance policy ikitokea ameuwawa mambo yaachiliwe yaende hadharani.
Ila we jamaa ni CIA πThe "C" and the "T" put alongside,huh? Charlie to the Tango! Conspiracy theory!
CIA wa Kijiwe-samli au Bombom?πππππIla we jamaa ni CIA π
Huwa nakuona unaandika mambo yenye afya kimasihara πCIA wa Kijiwe-samli au Bombom?πππππ
Ndivyo nilivyo mkuu.Comical style yenye ukweli.Huwa nakuona unaandika mambo yenye afya kimasihara π
Imekaa njema.Ndivyo nilivyo mkuu.Comical style yenye ukweli.
Tuko kwenye msiba, acheni kwanza hizi mambo, subirini baada ya mazishi ndipo tufuatilie, saa hizi ni msiba kwanza!.Chivayo itakuwa alikuwa ni fixer (kishoka) na dalali wa watawala, matajiri na watu wakubwa maarufu Africa. Ipo siku deals alizokuwa anafanya na watawala zitakuja kufumuka na kuwa wazi hadharani.