USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
WAJUMBE HII MIRADI MNAIONA KAMA SISI WANANCHI TUNAVYOIONA.
Tunakwenda kwenye uchaguzi mkuu na maji kila kona ,kila kata kila kijiji kila bomba haikuwa hivyo kabla ya uwakilishi wa Eng Ezra John Chiwelesa hapa biharamulo.
Tunakwenda kwenye uchaguzi huku tukiwa na mradi mkubwa wa maji wa ziwa victoria mkononi huku serkali ikiwa imeshapitisha bajeti ya bilioni 76 kuukamilisha mwarobaini wa maji wa tangu na tangu .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa tumekamilisha mradi biharamulo mjini,Nyakanazi, Nyakahura, Kabindi ,kaniha ,nyanza na n.k
Tumemtua mama wa biharamulo ndoo kichwani huku kiwango cha upatikanaji wa maji biharamulo mjini na vijijini ukiwa mkubwa 80% .
Miradi hii iliyopigiwa kelele na Mh mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa inasadiki hali ya kukwamua afya na maendeleo kupitia maji safi na salama.
Kina mama wameona kazi ya kuwaletea maji mlangoni na sio kuyafata mbali yaliko, maji, maji,maji kila kona .
Wajumbe mjue maji yalitutesa sana tangu tunakuwa na sasa tumepumzika .
WAJU
MBE TULEENI EZRA