Chizi Msituni :-)

Chizi Msituni :-)

Kitope

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
236
Reaction score
58
Chizi flani mwanamme kaingia msituni akiwa
uchi, wanyama wote kumuona tu
wakakimbia.
Fisi akakutana na simba pia
akiwa mbioni akamuuliza,
"Hata wewe simba umekimbia?"
Simba akamjibu, "Wee acha zako! walahi
huyo mnyama ni wa ajabu sana, mkia wake
... uko mbele!!"
 
Mi sio fundi wa haya mambo, hii nimeikuta kwenye hizi kona za net. wacha na mimileo nichangie =D
 
Back
Top Bottom