Naona EDJIZZO bado hajapata muda wa kutupa update hapa kuhusu project yake. Naomba wote tuwe waungwana na tuwe na subira kwani Edjizzo amedokeza tu kuwa punde ataweka program yake hewani. Since hajatoa maelezo zaidi kuwa at what level of development amefikia i.e je bado in BETA au FULL RELEASE version ya hii application yake basi ni vyema tusubiri tu mpaka tutakapoiona.
Hata kama in BETA cha muhimu ni kumpa support na maelekezo zaidi kuhusu nini afanye kuendeleza hiyo solution.
EDJIZZO wengi tunaisubiri kwa hamu. Wengi tunasubiri kujifunza na punde solution inapatikana, we should accept all critique ili iweze kuboreshwa. To start with if not completely ready, just drop us a few screenshots of the app.
btw Kiswahili/Kingereza sio hoja, mwalimu wangu wa programming alikuwa m'Polish, kingereza zero kuandika lakini alikuwa bomba sana katika kutuelimisha.