'Chocheeni kuni mbichi moto ukolee......
Unawaulizaje watu magongo ya ni nini wakati umesema kuna nyoka?
Mjomba wewe uliwapaka wanja, ngoja wao wakupake pilipili, alafu kwenye kombolela iwe zamu yako kuzinga....."
Pakua na umsikilize
Very good message to our rogue politicians and all those who do not want anything good for our people and nation