TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Akija Mshana Jr nitagMwanangu nataka nikwambie Kuna mtu kakutumia Kimavi mama yako kupitia mama yako Mimi Kuna Mbwa mmoja Tena mama yangu mkubwa dada yake kabisa na mama yangu alitaka kufanya ujinga huo Yani Kila akija kunifanyia uchawi namnasa ila anakuwa kaongozana. A mama yangu nawafokea mbaya
Baadae nikaanAza is mama anausika uwezi amini nilimwita mama nikamchana akalia sana nikaamini hajui lolote ila dada yake ni mwanga kweli ila hakuamini kama dada yake ananiloga Sasa changamoto mama mkubwa anaenda kwa ndugu anasema anaona Mimi kama nimerogwa hao ndugu wanachama kama karogwa nenda kamlague weee SI mama yake mkubwa anakaa kimnya.
Yote kwa yote mwamba uchawi upo na watu wanatumia picha na kvuri Cha mama yako maana ni very simpo
Kwa mambo zaidi namwalika ndugu Mshana Jr aje amwage undezi hapa.
Angalia kijana! Tumia akili na maarifa mengi aliyekujalia muumba wako. Umeshaona hvyo mara kadhaa usiendelee kumshirikisha kwenye mambo yako muhimu.Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.
Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.
Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.
Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.
Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.
Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.
Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwaamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.
Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.