Very expensive.Habari Wakuu...
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mgeni kwenye field hii ya magari ila natamani kupata usafiri siku kadhaa mbele.
Chaguo langu ni toyota (kwa sababu ni gari yangu ya kwanza naamini sitosumbuka sana).
Nimewaza gari ya kifamilia zaidi na ngumu ambayo pia ni fuel economy. Katika kutafuta nikakutana na hii gari toyota corolla fielder wxb. (Wxb kwa sababu atleast iko stylish) Kidogo
Matumizi yangu yatakua ni ya kawaida hasa maeneo ya mjini offroad inaweza kutokea mara chache na Sitakua na safari ndefu pia.
Sasa je wadau na wajuzi.
chaguo langu ni sahihi kwa matumizi yangu kama sio sahihi unanishauri nini kama mbadala??
Je upatikanaji wa mafundi na vipuli ukoje (mikoani zaidi)
Inaweza kuwa chini kidogo. Je hua kuna option za kuinyanyua juu kidogo na madhara yake ni nini??
Karibuni wataalamu.
Ahsante sana kakaIyo ni E160 mkuu, 2012-19 bei ya moto ila nzuri sana. Hybrid yake ni ya kitambo kidogo, kwenye Prius 2nd gen, au Aqua etc., kwahiyo kuhusu ubora wa engine na transmission ondoa wasiwasi.
Kama una mudu gharama chukua tu ni gari nzuri.
kumbe corolla chuma sanaHahaha pamoja Dkt.
Ukiona Corolla we ata usijiulize, kufika 300,000 km rahisi sana ukifuata maintenance za kawaida kabisa.