Chocs umepewa 72 hrs umfungulie ErickB52! Vingenevyo .......

Judgement
Kuwa makini na Lugha
"MBOOna".....

Mkuu Mzee!
Unajua in many cases mechanical written errors are the consequence of quick writin where the focus is on the content. Nway aksante kunistua!
Ubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Shemeji !
Sie hatuna ugomvi na ww maadamu uwe unamrilizi kama ulivyomrilizi leo!
Awe anawagriti wakwao.
Okei...baasi sawa shem

Ila siku nyingine uulize kwanza si kuandika barua moja kwa moja!
 
ha ha haaa
eheee
ukaota tunafanyaga nini mwaya

Nimeota tumekutana supermarket unaendesha kale katoroli kanakobeba bidhaa, ukiwa umefatana na bi'mkubwa hivi. Ambae alikuita jina usogee alipo yeye , ndipo na mimi niliposkia nikakurupuka na kuja kukuhagi !
Afta ze bigi hagi suddenly my dream was everporated !
 
mmmh
una mambo kweli,
hivi umelala na your wife
halafu umuote Mamndenyi
mmmmh, usiwe unaniota tena, umesikia eeh.

 
Last edited by a moderator:
mmmh
una mambo kweli,
hivi umelala na your wife
halafu umuote Mamndenyi
mmmmh, usiwe unaniota tena, umesikia eeh.

Sasa hapo wa kulaumiwa ni mie?
Ni nani aliyekwenda kuingia kwenye ndoto ya mwenzake?
Mi si ndiyo natakiwa nikushtaki kwa my wife, kwamba usije tena kuvamia ndoto zangu.
 
Last edited by a moderator:
halafu weye Judgement
shauri zako, siku utaota kweli
utajijua
Sasa hapo wa kulaumiwa ni mie?
Ni nani aliyekwenda kuingia kwenye ndoto ya mwenzake?
Mi si ndiyo natakiwa nikushtaki kwa my wife, kwamba usije tena kuvamia ndoto zangu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…