mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Miaka ya nyuma kusafisha ukuta ( skim) watu walitumia chokaa , wapo wanaoendelea kutumia chokaa japo wanaonekana wamepitwa na wakati,🎚️baada ya chokaa zimekuja materia nyingi nyingi.
Nimetumia gypsum powder, nimetumia na wallputy , sijatumia white cement na chokaa naiona kwenye nyumba za home, nilichojifunza kuhusu hizi material
1. Hakuna tofauti yoyote kati ya gypsum powder na chokaa, kinachoamua ukuta uwe smooth ni uwezo wa fundi tu, zote zinapigwa na fungus sana.
2. Wallputy ni nzuri zaidi ya chokaa na gypsum kwa sababu hairuhusu fungus kirahis,kwenye muenekano wa ukuta zote zipo sawa ni ubora wa fundi unamua.
3. White cement ni best sana kwa ubora, na cheap ukilinganisha na wallputy na material nyingine , kwenye muenakano wa ukuta narudi tena ubora wa fundi unamua, unaweza tumia chokaa ukuta wako ukawa smooth na ukatumi white cement ukuta unakuboa.
Nimejifunza hya kwa sababu napenda nyumba na naendelea kujenga nyumba mfuko unaporuhusu.