Chokaa, gypsum powder, wallputy na white cement kwa ajili ya kusafisha ukuta

Chokaa, gypsum powder, wallputy na white cement kwa ajili ya kusafisha ukuta

Hivi Yale ma gundi ya kuchemsha bado yapo na kama hayapo yalikuwa na mapungufu gani?
 
nilisha skim ukuta kwa kutumia saruji ya kawaida twiga na kuichanganya na rangi imotion

matokeo mpaka sasa ni mazuri maana nyumba nimeikodisha mwaka wa nne sasa bado inaita

na nilijaribu ku skim nje tu.
niliokoa pesa nusu gharama.
 
Back
Top Bottom