COSTECH ni Internet Service Provider hivyo kuna uwezekano mkubwa CoolBlue wamesubscribe kutumia domain name ya COSTECH ? Swali jingine je sawa kwa COSTECH kufanya biashara ya kusambaza internet kushindana na wafanya biashara binafsi wakati inashindwa kutimiza lengo lake kuu la kuwasaidia watafiti nchini kufanya tafiti mbali mbali zitakazoiletea nchi hii maendeleo ?
Mie nadhani tusipate shid a na kuumiza kichwa Mwenye icho Kiwanda cha kutengeneza hayo maji ya COOLBLUE ni mwana JF mwenzetu tafadhali ndugu yangu MR.coolblue,MR.Tembotiles Tujibu kwa manufaa ya wote hapa