Chokochoko: Coolblue Vs. Costech

Chokochoko: Coolblue Vs. Costech

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
Wajameni

Nina Kaswali Kadogo...

Haya Maji Yanayouzwa [cool Blue] Yana Uhusiano Gani Na Costech?

Maana Email Ya Biashara Ile Ni coolblue@costech.or.tz

Thanks
 
COSTECH ni Internet Service Provider hivyo kuna uwezekano mkubwa CoolBlue wamesubscribe kutumia domain name ya COSTECH ? Swali jingine je sawa kwa COSTECH kufanya biashara ya kusambaza internet kushindana na wafanya biashara binafsi wakati inashindwa kutimiza lengo lake kuu la kuwasaidia watafiti nchini kufanya tafiti mbali mbali zitakazoiletea nchi hii maendeleo ?

MaTT
 
Mie nadhani tusipate shid a na kuumiza kichwa Mwenye icho Kiwanda cha kutengeneza hayo maji ya COOLBLUE ni mwana JF mwenzetu tafadhali ndugu yangu MR.coolblue,MR.Tembotiles Tujibu kwa manufaa ya wote hapa
 
Back
Top Bottom