Cholesterol total na blood urea ziko juu

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu

Mnamo mwezi wakwanza mwaka huu nilipima cholesterol total na blood urea zilikua ziko juu zaid ya inavotakiwa...

Mpaka kufikia Sasa nikuanzia siku Tano nyuma nimeanza kusikia maumivu makali upande wa usawa wa figo kulia chini ya mbavu kuelekea mgongoni halii hii nikinywa maji mengi labda lita4 Hali ya maumivu hutulia..

Ila nkianza kukojoa Hadi mkojo woote maji niliyokunywa yakiisha basi ntaanza kuskia maumivu ya sehemu usawa wafigo la kushoto kuja chini ya mbavu yatakuwepo mda wote
 
Nenda kafanye check up hospitali, na kama hii ndio findings za hospitali natumaini umeandikiwa Dawa za matibabu yake.

Ila hii cholesterol ni hatari inaleta stroke pia, jihadhari na mafuta ya kupigia tumia mafuta ya miles tu kama alizeti na ya Nazi au mawese, achana na korie.
 
Back
Top Bottom