Chombeza time:Hivi ulitakaga kuwa nani ulipokuwa mdogo/kijana

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Unajua maisha kila mtu ana ndoto za udogoni/ujanani.

Kwa mfano mimi nilipokuwa mdogo nilitaka kuwa mwanajeshi baada ya kuangalia movie ya Rambo[emoji1787][emoji1787]
 
images (1).jpeg

And I still believe one day yes na hapo nimesoma vishazi tegemezi badala ya general relativity..😂😂

Kweli ni ndoto..😅
 
Nilipenda Sana kuwa Askari Magereza tangu mdogo, nyumbani wakaniambia soma Kwanza ili ukijiunga uwe boss, baada ya hapo nikajikuta naambiwa kuna sehemu unahitajika ukafanye interview ilikuwa ngumu nashukuru Mungu nilipita baada ya miaka mitatu hivi nikawaambia nataka Magereza wakaniambia hakuna.kuhamahama baki huko huko [emoji3][emoji3]

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ila kwa hapa nyumbani Tanzania mara nyingi hatujui ni kipi tunakihitaji pindi tunapotaka kua wakubwa sababu ya elimu yetu. Nakumbuka nilikua nataka kua askari sababu jirani yetu mumewe alikua askari....
 
[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787]
It's sad kwa kweli hebu chukua mfano kijijini mtu mwenye nyumba nzuri ni mwalimu au daktari au hata dereva wa halmashauri ... Wale watoto wote wa hicho kijiji ndoto zao zitakua kua hao watu. But in reality that's not their passion but it is what they have been exposed ila in reality sio kwamba ndio our passions. Our dreams can sometimes be quite limited because of where we come from (environment, family and social status )
 
Yeah ni ukweli ndoto zimejikita au zinakuwa influenced na watu waliokuwa successful zaidi kama nikimuona jamaa ni tajiri na ni Kiongozi basi ntaiga mfano kwake ilihali labda mimi niko vizuri kwenye uchoraji au uimbaji
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom