Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..🔞
Like page hii kupata hadithi hii kila siku-----> Story za Mambo
Sehemu ya 12
UNAWEZA KUSOMA HADITHI HII KWA KULIPIA VIPANDE VYA MBELE KWA SH 100 TU KILA KIPANDE 🔥🔥🔥🔥
Kuipata yote full n sh 3500/=
******
Ukisikia mbuzi kufia kwa muuza supu ndio vile sasa,mama Zubeda bado hakumjua mgeni ni nani?hakumjua mgeni ni bakora mkononi,mpaka hapo ameshafanya mapenzi na binti yake mkubwa ambaye amelala ndani kwa uchovu wa bao tatu za mgeni!
Luka alitabasamu moyoni maana Selina alikuwa bado mbichi kabisa,si ajabu hata alikuwa bado na usichana wake!
“Sawa mama!”,aliitikia Luka akiamini huko machungani kunaenda kuchimbika!
“Na wewe Selina usimpeleke mapori ya mbali huyu bado mgeni!”
“Sawa mama!”
Mama Zube aliyachukua maziwa muda huo chakula cha wachungaji kilishaandaliwa,Selina alibeba chakula na maji,muda ule Luka akawa anafungulia ng’ombe ambao wallikuwa wengi sana,walikuwa ng’ombe kama mia mbili!
“Huyu mzee ana mifugo kibao badala auze hii anaenda kuhangaika na madawa ya kienyeji mjini!”
Alijisemea Luka akiamini angekuwa ni yeye anamiliki mifugo ile angekuwa tajiri mkubwa sana mjini,angeshaziuza na kwenda kufungulia biashara mjini!
Safari ya machungani ilianza huku wakiwa kimya kimya,Selina alikuwa mkimya hakuwa muongeaji sana kama dada zake wengine!
Hali ile ya ukimya wa Selina ilimpa wakati mgumu sana Luka kumuingia,maana kila akiongea hakuna jibu zaidi ya ukimya uliopitiliza!
“Tupite huku”
Hizo ndizo kauli alizokuwa anaongea njia nzima mpaka wanafika machungani,ng’ombe waliendelea kula majani muda huo Selina alikuwa pembeni kabisa amekaa kivyake!
Luka hakutaka kuonekana mnyonge alimsogelea na kukaa pembeni yake kisha kajikoholesha kurekebisha sauti!
Muda huo huo Selina aliamka akataka kuondoka eneo lile,Luka akamshika mkono Selina akashtuka maana ni jambo ambalo hakulitegemea kabisa!
“Unaenda wapi?”
Luka alimtwanga swali Selina akabaki ametumbua macho hasijue anajibu nini?Luka ni mzoefu sana kuhusu wanawake,mabinti kama wale alishakutana nao sana,alijua kinachomsumbua yule binti ni barehe na aibu!
“Kaa hapa unaenda wapi?”
“Mi siwezi bhana niachie!”
Selina alitumia nguvu akajitoa mkono lakini Luka hakukubali kushindwa kabisa alichofanya alisimama wakawa wanaangaliana,Selina katumia ujanja!
“Ng’ombe wametawanyika!”
Kauli ile ilimshtua sana Luka akamuachia mkono yule binti akakimbilia kwenye mifugo lakini akawaona ng’ombe wametulia hawana hata presha!
Alirudi lakini hakumkuta tena pale Selina,alikuwa amesimama mbali hana habari,njaa ilikuwa imemkaba sana Luka akatoa mfuko wa chakula akakutana na viazi vya kuchemsha na maziwa mgando ambayo hayana maji hata kidogo!
Alipoanza kula tu Selina alijisogeza na yeye akachukua kiazi akaanza kula japo kwa aibu aibu,katika hali ya kushangaza kuna ng!ombe walikuwa wanakimbizana dume na jike wakasimama mbele yao wakaanza kupandana!
Luka alicheka akamuangalia Selina ambaye kwa aibu aliangalia chini huku anakula kiazi chake,walimaliza kula kisha usingizi ukamchukua Luka kutokana na shibe ya viazi,alipokuja kushtuka hakumuona Selina akaanza kujiuliza atakuwa ameenda wapi?
**********
Ilikuwa ni dozi ambayo ilimuacha hoi Zubeda,tangu aanze kufanya mapenzi hakuwahi kukutana na mwanaume kama Luka,bao lake moja lilikuwa kama bao tatu za mtu!
Uchovu ulimfanya ashindwe kuamka kabisa asubuhi kitu ambacho si kawaida yake kabisa,aliona ni bora kusingizia ugonjwa!
Hata mama yake alipokuja kuamsha alikataa kabisa kuamka akisema anaumwa sana,na vile alishamlaghai tangu usiku ilikuwa rahisi kwa mama yake kukubali!
Bila kujua binti yake anaugulia mahaba mazito mazito ya mgeni,mahaba ambayo hajawahi kuyapata tangu ayajue mapenzi!
Aliamka baadae akakutana na taarifa ambazo zilimshtua sana hata yeye,aliambiwa mgeni kapelekwa machungani na mdogo wake Selina,alipata hofu na wivu lakini alijipa moyo sababu aliamini selina bado mdogo sana!
“Hapana angekuwa Suzy sawa lakini huyu hawezi bado mdogo!”,alijisemea akaendelea na shughuli zake akijaribu kuyapuuzia mawazo yake!”
Siku hiyo alishinda na dukuduku moyoni,alikuwa anatamani kusimulia alichofanyiwa na mgeni,na hakuna mwingine wa kumsimulia zaidi ya rafiki yake Zahara ambaye ndiye shoga yake walioshibana!
Alifunga safari mpaka kwa kina Zahara akamkuta yuko jikoni anapika,bila kuchelewa akaingia na kuvuta kigoda akakaa!
“Hee!shoga kwema huko!”
“Siyo kwema shoga yangu unavyoniona mwenzako mahaba yamenifika hapa!”
“Wee usinambie umegombana na Juma tena!”
“Juma yule kikaragosi sitaki hata kumsikia,shoga yangu jana nimepatikana nimeingia kisimani bila kupima maji,navyokuambia nimelala miguu kule miguu huku ili upepo upite!”
“Shoga umekutana na punda?”
“Mgeni shoga yangu,nyumbani kaja mgeni nikamtamani nikamtega kategeka ila dozi aliyonipa aiseeh!nimekoma shoga nimekoma!”
“Heeh!ilikuwaje nipe ubuyu!”
JE NINI KITAENDELEA?TAAARIFA ZA MGENI ZINAZIDI KUSAMBAA ITAKUWAJE?
UNAWEZA KUSOMA HADITHI HII KWA KULIPIA VIPANDE VYA MBELE KWA SH 100 TU KILA KIPANDE 🔥🔥🔥🔥
Kuipata yote full n sh 3500/=
Lipia hapa 0744872552 (mpesa) au 0716352102 (tigopesa)..(Khadija Matengula)
TUKUTANE KESHO TENAAAA MWENDELEZO MAMBO NI 🔥🔥🔥
#LIKE
#COMMENT
#SHARE