Chombezo: Bao tatu za mgeni!

Chombezo: Bao tatu za mgeni!

Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call………….………….0716352102
Umri…………………..🔞

Like page hii kupata hadithi hii kila siku-----> Story za Mambo

Sehemu ya 14

UNAWEZA KUSOMA HADITHI HII KWA KULIPIA VIPANDE VYA MBELE KWA SH 100 TU KILA KIPANDE 🔥🔥🔥🔥
Kuipata yote full n sh 3500/=
*******
Ukisikia kushikwa pabaya ndiko kule,Selina alibaki ameduwaa,alisimama akamuangalia Luka ambaye naye alimkazia macho,kwa aibu Selina akainama chini kisha wakaendelea na safari!
Ilikuwa ni aibu kubwa kwake,alikosa kabisa uwezo wa kumtazama tena Luka machoni,ni bora angefumaniwa hata na mume wa mtu kuliko kuonekana akichezea bakora ya ng’ombe!
Ukimya ulitawala Luka alikuwa anaiongoza mifugo kama alizaliwa huko,kumbe ni siku ya kwanza kwenda machungani!
Walipokaribia kufika tu Selina alimsogelea Luka akamshika mkono,Luka alisimama akiwa haamini kama binti yule kalainika vile,aliamini kweli kamshika penyewe!
Walitazamana ila Selina alikosa ujasiri akayatupia macho yake pembeni,Luka alijua kazi imekwisha alitaka kulitumia lile jambo kufanikisha jambo lake!
“Kaka ivi kweli unaenda kumwambia mama?”’aliuliza Salome huku anang’ata vidole vyake kama anatongozwa,japo staili hii walifanya madada wa zamani ila hawa wa sasa,unamtongoza anakukodolea mpaka unaona aibu!
“Ukinipa sisemi!”,alijibu Luka kwa mkato!
“Nikikupa nini kaka?”
“Kile unachompa ng’ombe!”
“La..la…lakini kaka mi…mi nachezeaga tu simpagi ng’ombe!”
“Basi ukichezea yangu kama unavyochezea iile ya ng’ombe sisemi!”
“ka..ka…mi sijawahi lakini!”
“Usijali siyo kazi ni vile tu unamshika yule ng’ombe na yangu uishike ivyo ivyo!”
“Sawa kaka usiposema kwa mama kesho tukija machungani nakushika!”
“Sawa!”
Walikubaliana kisha wakaongoza mifugo mpaka nyumbani,waliifikisha salama ikiwa imeshiba sana mpaka mama Zubeda akafurahi!
“Mama yaani mgeni kama mwenyeji halafu kama alishawahi kuchunga yaani sijapata hata tabu kumuelekeza!”
Selina alimshushia Luka sifa ambazo hata yeye alibaki kushangaa tu,mama Zubeda alikuwa na furaha sana siku ile akiamini sasa wamepata mtu wa kuwaangalizia mifugo yao!
Luka alichukua maji akaingia bafuni kuoga,japo alikuwa kijijini ila hakutaka kuishi kama vijana wengine wa kijijini,alitaka aonekane maridadi ikishindikana walau awe msafi!
Zubeda baada ya kusikia mifugo inalia akajua moja kwa moja mgeni karudi,alitoka ndani mbio mbio mpaka nje akamuangaza huku na kule lakini hakumuona!
Alimuona mdogo wake pembeni ambaye ndiye aliyeenda na mgeni machungani,alimsogelea akamuuliza!
“Mgeni yuko wapi?”
“Mhh!dada hata salamu jamani,shikamoo!”
“Marahaba aya nijibu swali langu!”
“Dada mi sijui kaenda kwake!”
“Mmefanya nini machungani?”
Swali lile lilimfanya Selina aanze kumtafakari kwa kina dada yake,lilikuwa swali la ajabu ambalo hakulitegemea kabisa!
“Si nakuuliza mmefanya nini huko,mbona unanitumbulia macho?”
“Tumechunga ng’ombe!”
Selina alijibu kwa hasira na jeuri kisha akaondoka zake akamuacha dada yake amesimama anamuita!
“We Selina….Selina!”
Zubeda hakuweza kuingia kwenye nyumba ya mgeni sababu mama yake alikuwa karibu na mlango wa mgeni anafua!
Akiwa bado anashangaa hasijue cha kufanya alimuona rafiki yake Zhara anakuja kwao,alimshangaa Zahara sababu ametoka kwao muda si mrefu!
Zahara alifika akiwa na tabasamu pana kwa rafiki yake,alimsalimia mama yake kisha akaenda mpaka aliposimama rafiki yake,muda huo huo Luka alikuwa anatoka zake bafuni kuoga!
Zahara alipata kumuona mgeni kwa mara ya kwanza,moyoni alikiri kweli mgeni licha ya kupewa sifa zake nyingine ila ni mzuri!
“Shoga mgeni mwenyewe ndiyo yule?”
Sali lile lilimshtua Zubed kidogo akaanza kuwa na wasiwsi na ugeni wa ghafla wa Zahara nyumbani kwao!
“Shoga si nakuuliza ndiyo yule mgeni?”
“Ndiyo yeye!”.aliongea kinyonge Zubeda mpaka rafiki yake akabaki ameshangaa!

Zahara hakukaa sana aliaga akaondoka zake huku sura ya mgeni ikiwa imemchanganya na zile sifa alizozisema Zubeda ndiyo kabisa akawa kila muda anajihisi kulowa bila kuguswa!
“Yule mkaka jamani mmh!mbona majaribu haya,Zubeda tusameheane tu hapa siwezi kukuacha ule mwenyewe kbisa!”
Alijisemea Zahara akiwa kwao,aliwaza atumie njia gani kumnasa yule mgeni mwenye balaa lake chumbani!
Aliwaza mwisho akapata wazo moja ambalo alihisi moja kwa moja lazima lifanikiwe tu,alitabasamu kisha akaendelea na mambo yake!
“Mgeni nazitaka hizo bao tatu!”
Zahara hakunywa wala hakupumua,tayari mgeni alishamtawala akilini kabla hata ya kumgusa!Hli ile hata yeye ilimshangaza akajikuta anajiuliza!
“Huyu mgeni mchawi nini?sijawahi kujisikia hivi mimi!’
HAYA MGENI SASA ANA VIPOLO VIWILI,JE KIPI KITACHACHA?

UNAWEZA KUSOMA HADITHI HII KWA KULIPIA VIPANDE VYA MBELE KWA SH 100 TU KILA KIPANDE 🔥🔥🔥🔥
Kuipata yote full n sh 3500/=

Lipia hapa 0744872552 (mpesa) au 0716352102 (tigopesa)..(Khadija Matengula)
TUKUTANE KESHO TENAAAA MWENDELEZO MAMBO NI 🔥🔥🔥
#LIKE
#COMMENT
#SHARE
 
Asante Mkuu. Ila unachelewa Sana...[emoji17][emoji17]
 
Nunueni tu hii story vinginevyo arosto haikwepeki.
Mie nimenunua 3500 nimeshaimaliza tangu jn
 
Alosto sio poa nimeimaliza hii story Lukas kiboko
 
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo


Sehemu ya 15
UNAWEZA KUSOMA HADITHI HII KWA KULIPIA VIPANDE VYA MBELE KWA SH 100 TU KILA KIPANDE 🔥🔥🔥🔥
Kuipata yote full n sh 3500/=
*******
Ilikuwa ni vita baridi baina ya Zubeda na Zahara,kilichomponza Zubeda ni kumpa umbeya shogae kuhusu kila kitu alichofanyiwa na mgeni!
Sasa Zahara alishaiona sura ya mgeni na amempenda,na yeye anazitaka bao tatu za mgeni kwa udi na uvumba!
Kuna wazo aliliwaza namna ya kumpata mgeni na kumuweka kwenye himaya yake akaishia kutabasamu!
“Huyu mkaka lazima nimuonje,hawezi kumlaza mtu kwa bao tatu tu,kama anatumia alkasusu nitajua tu!”,alijisemea Zahara!

Ujio wa ghafla wa Zahara ulimuacha na maswali mengi sana Zubeda,na hasa kitendo cha kumuona tu mgeni na kuondoka!
Alijaribu kuwaza na kuwazua mwisho akaamua kupotezea akiamin shoga yake hana mpango mbaya,sababu alishamueleza mgeni ni bwana yake!
Mawazo yake yalikuwa kwa Lukas ambaye alikuwa kwenye kijumba chake amepumzika hana hili wala lile!
“Kamtengeeni mgeni ale,si mnajua ametoka machungani!”,alisema mama Zubeda!
“Sawa mama!”,alijibu haraka Zubeda akainuka kwenda bila kutenga mpaka mama yake akabaki anamshangaa,maana kati ya mabinti zake wote Zubeda ndiyo mgumu kufanya kazi kuliko wote!
“Kwa hiyo mama mimi sitengewi au sijatoka machungani?”,aliuliza kiutani Selina!
“Hupajui jikoni?”
“Mhh!mama jamani!unihurumii katoto kako kwa mwisho!”
“Aya subiri nimalize nije nikubebe nikupeleke jikoni mwanangu sawa binti yangu eeh!”
“Ulivyoongea kama kweli vile!”
“Hahahahaha!”

*******

Luka alikuwa kwenye kile kijumba hana habari usingizi ulishamchukua zamani,uchovu ulimshika sababu hakuwa mzoefu na uchungaji wa ng’ombe!
Akiwa kalala alihisi mtu anamtikisa alipoamka alikutana na Zubeda ambaye alikuwa anamuangalia kwa macho malegevu!
“Mume wangu amka ule!”
Neno mume wangu lilimshangaza Luka hakuamini Zubeda anaweza kuwa serious kiasi cha kufikia kumuita mume wangu,Luka alikuwa na njaa isiyo kifani ndiyo maana hakupata hata hamu ya kuhoji kauli ya Zubeda!
Aliamka akakuta tayari ametengewa ugali na samaki na mboga za majani,Zubeda alimnawisha huku anamuangalia usoni ni wazi bao tatu zilimchanganya sana!
Baada ya kumnawisha hakuondoka alibaki pale akiwa anamuangalia Luka anakula,kitendo kile hakukipenda ikabidi aulize kulikoni!
“Vipi mbon unaniangalia sana!”
“Mhh!nakumbuka bao zako jamani!”
“Sasa nenda nje utashtukiwa na mama yako utakuja nikimaliza kula utoe vyombo!”
Zubeda aliamka kishingo upande akaanza kuzipiga hatua zake ila alipofika mlangoni akasimama akamuuliza!
“Vipi mgeni na leo nije?’”
Luka alimuangalia Zubeda,kiukweli mawazo yake yalikuwa kwa Selina na aliamini kesho ni lazima amchinje machungani!
“Wewe tu!”
Kauli ile ilimfanya Zubeda atabasamu na kuishia zake,alitamani usiku uingie ili akafaidi tena mahaba ya mgeni,japokuwa penzi lake lilimfanya apate homa ya ghjafla ila hakujali!

Baada ya kumaliza kula Zubeda alirudi kutoa vyombo,ila badala yale alimrukia mgeni na kuanza kumpiga mabusu mazito!
Luka alihisi hali ya hatari sababu alijua anakoelekea ataomba bakora na muda ule ndugu zake wapo nje!Alimsukumia pembeni akawa mkali kama mbogo!
“We vipi ?unataka nini?unanitakia mema kweli wewe,nitakuwa sikupi sasa naona unataka nifukuzwe!”
Zubeda alitoa vyombo kinyonge akaondoka zake huku akisisitiza usiku lazima aje kupokea bao tatu za mgeni!

Usiku uliingia na baada ya chakula walitawanyika kwenda kulala,kama kawaida Zubeda alitoroka na kuzamia kwenye gheto la mgeni!
Alipofika hakuataka stori,alikuwa na hamu isiyo kifani,alimvamia mgeni siku hiyo hakuwasha taa ilikuwa ni mechi ya gizani!
Mgeni alikuwa uchi wa mnyama,Zubeda naye akalitupia mbali vazi lake wakaanza kupapasana!Mgeni aliamua kumuonyesha ufundi wake wa kuchezea miili ya kinadada!
Alimpa ulimi wakaanza kudendeka japo denda la Zubeda lilikuwa la kishamba shamba hakuwa mzoefu na maandalizi,alishazoea kushikana shikana tu halafu imoooo!
Siku ile mgeni alimuonyesha mapenzi yanafanywaje alimnyonya shingo yake akalegea kama bakora iliyomwaga bao!
Utalii alioufanya mgeni katika mbuga yake ulimfanya aiombe bakora bila kupenda,utamu ulimzidia akaona anachelewa kuchinjwa!
“Jamani mgeni nichinje,nichome unile nimeiva baba!”
JE NINI KITAENDELEA?MECHI YAO ITAISHA SALAMA?
 
Back
Top Bottom