Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #161
h duhwe kagoogle tu jinsi ya kucopy maneno....
alvine anachokitafuta atakipata,
nataka nione mwisho wa alvine π ππππ unataki ishie wapi
basi niambie atamuoa nani , sikitu au Jackie π€πππ unataki ishie wapi
ni story nzuri, kazi nzuri [emoji7]
sawa, nimetuliaπ€Kuwa mtulivu kidogo
sawa, nimetulia[emoji850]
shamba uyo gily yupo na shemeji now ππnani? mshamba_hachekwi au Gily π
Eid Mubarak Eid Mubarak mdogo angu ππmuulize huyu am 4 real
Ww bhna mchoyoEid Mubarak Eid Mubarak mdogo angu ππ
Upo powa wewe....
Leo nimepika Mimi mwenyewe duu muda sana sijapika...asbh nimeanza na Spanish Omelette a.k.a Tortilla.....Ww bhna mchoyo
Oh vizr shem kapumzika leoLeo nimepika Mimi mwenyewe duu muda sana sijapika...asbh nimeanza na Spanish.....
Alaf nikatoka kwenda kufanya tourist activities tembea sanaa....
Mchana tumerud nikapika tena msosi mtamu
Nikacheki gemu ya SIMBA nikafurah japo tumepata ushindi mwembamba....
Nika Anza kuchek movies nimeangalia COCAINE BEAR π»π¨
Saa tatu Nika ingia kwenye maombi nimemaliza Si mrefu muda huu nimekuja full time ππ
Sio mchoyo bwana...ππWw bhna mchoyo
Good bro very good. .Leo nimepika Mimi mwenyewe duu muda sana sijapika...asbh nimeanza na Spanish Omelette a.k.a Tortilla.....
Alaf nikatoka kwenda kufanya tourist activities tembea sanaa....
Mchana tumerud nikapika tena msosi mtamu
Nikacheki gemu ya SIMBA nikafurah japo tumepata ushindi mwembamba....
Nika Anza kuchek movies nimeangalia COCAINE BEAR π»π¨
Saa tatu Nika ingia kwenye maombi nimemaliza muda Si mrefu...muda huu nimekuja full time ππ
Upo powa gily...mzima wewGood bro very good. .