MIMI: kwasababu siwezi kuvumilia kabisa kuona mtu akikuchukua kutoka kwangu
JANET: akinichukua kutoka kwako ?,Kwani Tunachumbiana?, Kwan mm ni mpenzi wako ?, Sisi si marafiki tu? Bla bla bla.
MIMI: nikachanganyikiwa kitu gani niongee * Nikamshika mikono yake miwili nikamtizama machoni kisha nikamwambia, jackline tangu tumeanza kuwa karibu sio Siri nimejikuta nikianza kukupenda, nimekuwa nikikufikiria kila wakati na siwez kufanya jambo lolote pasipo kufikiria japo kwa sekunde.
* maneno matamu yakaendelea **
JACKLINE:kwa hiyo point yako hapo ni ipi ? ?
MIMI: Nataka uwe Mpenzi wangu . Mtu pekee nitakaye mpenda kila wakati.
JACKLINE:* akatabasamu *, ila naomba unipe muda nilifikirie kiundani,, sawa??
MIMI: sawa! ?
Nikamsogelea karibu kabisa nikamuinamia kidogo kisha Nikamnong'oneza sikioni "Nitakufa Kama utanambia HAPANA". Jackline alitabasamu na kisha akanikiss ?? hakuishia hapo... Akasogeza mdomo wake karibu kabisa na sikio langu kisha kwa sauti ya chiiiiiiini akanambia,. "kitu gani kilifanya uchelewe, mbona umechukua muda mrefu "
Kwa kweli, Siku hiyo nilijikuta mwenye furaha Sana hasa baada ya kusikia maneno Yale lainiii kutoka kinywani mwa jackline , Tulikuwa wenye furaha kiasi kwamba hatukuweza kuendelea tena na vipindi siku hiyo. Muda wote tulikuwa tukipeana Denda,..tukawa tuna-kumbatiana tu na kuongelea stori za malavi davi.
Baada ya sikitu kurudi, nikavunga.. Nikajifanya Kama Hakuna chochote kilicho tokea . Kisha nikamwambia Jackline . "Nitakuja kesho, sijisikii vizuri"
..
Jackline na Mimi tuliendelea na mazungumzo yetu whatsapp, huku jackline akinambia bado hajali-fikiria lile ombi langu.
Na Mara zote nilipokuwa namaliza kuchat nikawa nahakikisha nimefuta mazungumzo yote na jackline ili sikitu asije kuyaona.
ijumamosi ??????
Asubuhi ya siku ya kuzaliwa jackline , nilianza kwa kumtumia sms ndefu na nzuri ya mapenzi .Na baada ya kuwa nimefikiria kwa muda Mrefu kuhusu zawadi gani niweze Kumpatia Siku hiyo muhimu kabisa , nikakumbuka ali-wahi kunambia kuwa anaipenda sana rangi ya pink, basi nikaamua nimunulie chup* 6 za dizaini tofauti na zote zenye rangi ya pink ,
Majira ya mchana tayari nilikuwa niko ndani ya white house na shughuli ikawa inaendelea, Ilipofika saa 10 jioni baada ya kuwa nimemaliza kucheza na kula pia, nikamwambia madam
na jackline kuwa Nahitaji kuondoka, lakini wote wawili wakasisitiza kwamba itabidi nibaki nilale hapo.. Tena kwenye chumba changu kile maana Mara kwa Mara Nimekuwa sikitumii.
Sikuona sababu ya kukataa, ikabidi nikubali.. Nikapokea funguo na moja kwa moja nikaelekea chumban kwangu,
baada ya kuwa nimefika chumbani tu ????
Sikitu alinipigia simu na kuniuliza kama anaweza kuja, nikamjibu asijaribu kuja kwani tunaweza kukamatwa,alifikiria na kuamua asije.
Baada ya chakula cha usiku , nilirudi chumbani kwangu, na moja kwa moja nikaelekea bafuni kuoga , baada ya hapo nikachukua simu yangu
na kuanza kucheza Gemu . Saa nne nne hivi nikiwa nacheza zangu game... Mara ikaingia whatsapp message .. Kutoka kwa jackline,, message iliyosomeka "Asante sana kwa zawadi, Ni zawadi nzuri Sana Kati ya zawadi zote nilowahi kupokea, nakupenda Sana Alvine "
hapo, biringanya likashtuka kidogo ??
Kwa mzuka nilio kuwanao nikajikuta , ninapiga kelele "yeeeeess, ilifanya kazi"
ile zawad ????????imesaidia
Usiku huo, tulikuwa na mazungumzo yetu ya kwanza ya kimapenzi hadi saa nane na na nusu huku nikimuomba avalie zile zawadi kisha anionyeshe, basi akawa anavaa moja moja kisha anapiga picha Ananitumia , taratiibu uvumilivu ukaanza kunishnda, biringanya langu likasimama mpka mwisho nikawa nahisi maumivu, nikaanza vuta picha vile ambavyo itakuwa.. Siku nikiwa kifuani kwa jackline.. Hapo Hali yangu ikazidi kuwa mbaya zaidi , nikatamani kwenda chumbani kwake muda huo, lakini nikakumbuka inabidi niwe makini sana na madam.. Basi Nikachukua simu yangu nakumtumia jackline message , nikimwmbia afungue mlango nataka kunyata niingie chumbani kwake.
Akanijibu "Mamy sio mtu anayelala fofofo "??
nilijituliza na kuamua kubaki ndani ya
chumba changu.
Kwa wiki ya kwanza yote! Mapenzi yangu na jackline zalizidi kupamba moto ?? Sana , huku jackline Mara nyingi akiwa anafanya vituko kwa kiwango ambacho kilikuwa kinamkera Sana sikitu. Na Siku moja katika moja ya mazungumzo yetu na jackline
nikamwambia
MIMI: Jackline , ninataka Mahusiano yetu Yawe siri , sikitu hatakiwi kujua kabisa!!
Wala mtu yeyote hapa ndani pia.
JACKLINE: kwanini?
MIMI: unajua, anaweza kumwambia mama moja kwa moja, au hata akatumia njia yoyote ile ili tu Mama afahamu ukweli.
JACKLINE: hawezi na wala sidhani Kama anaweza akathubutu .
MIMI: hata Kama hawezi, mimi nataka iwe siri wakati wote niwapo humu ndani.
JACKLINE: sawa.
Tuliendelea na mambo yetu ya siri ndani ya white house. Na Baadaye nikaamua nimkaribishe jackline nyumbani kwangu.
Akaniahidi kuwa atakuja, nikawa nimempatia anuani yangu.
Ilikuwa ni jumanne, Siku 2 kabla ya siku inayofuata ya soko. Jackline alikuwa amekwisha nitaarifu
mapema kuwa atakuwa mgeni wangu saa Tano asubuhi.
*sikuwa na wasiwasi coz tayari nilikwisha mpa maelekezo..wapi napokaa *
Nilikiandaa vizuri Sana chumba changu, nikaweka shuka safi kabisa kitandani na baada ya kumaliza kila kitu nikapulizia pafyumu flani hivi amazing... Chumba kizima kikatapakaa harufu nzuri ya kuvutia.
Majira ya tatu asubuhi , nilienda kwenye duka la jirani nika-nunua mzinga Mmoja wa Konyagi baada ya kurudi, nikavitoa nje viti viwili vya plastiki vilivyo kuwa ndani kwangu ilikusudi, jackline asiwe na sehemu yoyote ya kukaa zaidi ya kitandani.nilipo rudi ndani nikachukua CD flani hivi ya kikubwa nikaiweka kwenye deki... Ikaplay Kama dakika mbili hivi kisha nika-istopisha, ili jackline akifika tu Niiachie iendelee ????
Baada ya hapo nikajitupa kitandani huku nikiwa nafikiria vitu vingi Sana, nikawa nawaza jinsi ambavyo nitaanza kuzitoa nguo za jackline moja baada ya nyingine kisha nimpandie kifuani kwake. Niliwaza mambo mengi Sana, yani kiufupi nilikuwa na asilimia 100% kuwa lazima jackline atauonja utamu wa biringanya Siku hiyo. Niliamua kucheza gemu la mpira kwenye simu Yangu "PES19" iliangalau muda usogee!!
Majira ya saa nne Kama na nusu hivi.. Nikasikia mlango wa chumba changu ukigongwa. "Ko ko ko".
Nilishangaa jinsi jackline alivyoweza kulifikia eneo ninalo ishi na kukitambua chumba changu kwa urahisi , ukizingatia nilimpatia maelekezo machache tu kuhusu wapi napo kaa
Taratibu biringanya langu likaanza kusimama .. nilikuwa na furaha sana ndani yangu,
nikajua bila Shaka jackline kafika *??
Basi nikabonyeza kitufe flani kwenye remote na kuiruhusu ile CD iendelee kuplay
Huku nikiuliza " Nani??? ..mlango uko wazi ingia.. "
Wakati mlango ukifunguliwa, nilishtuka Sana !
"Khaaa Sikitu!!!!!!!! Mbona hukunambia Kama unakuja "
Nikamwambia sikitu kwa sauti ya juu wakati huo sikitu akiingia chumbani kwangu
***chaii???????? ohooo
..
..
..
•unadhani nini kitatokea?
..
??
Wakati mlango ukifunguliwa, nilishtuka Sana !
"Sikitu!!! Mbona hukunambia Kama unakuja "
Nikamwambia sikitu kwa sauti wakati huo sikitu akiingia chumbani kwangu
..
????
SIKITU: vipi mbona uso wako uko hivyo ? Inamaana hujafurahia kuniona? Au kuna mtu ulikuwa ukimtarajia???
MIMI: hapana , ndo nimeamka kutoka usingizi Mara tu niliposikia ukigonga , ukizingatia Leo sio Siku ya soko hivyo nimeshangaa sana kukuona!!
SiKITU: aahhm una uhakika kuwa haumtarajii mtu?
MIMI: HAPANA, vipi unaenda wapi? * nilimuuliza huku nimeishiwa pozi *
SIKITU: aahhm tumeishiwa mafuta ya karanga kule nyumbani , hivyo madam ali niachia pesa asubuhi Sana kwaajili ya kununua mafuta ya karanga. Ndo nilikuwa naelekea kuyanunua , nikaona nipitie hapa kidogo ili angalau nikuone.
MIMI: A-haa Ni sawa, vipi jackline anaendeleaje ?, Yuko nyumbani?
SiKITU: ndiyo yupo nyumbani , lakini inaonekana kama kuna sehemu anataka Kuelekea coz nilimktuta akivaa wakati nilipo kwenda chumbani kwake.
MIMI: * hapo, nikajikuta nashindwa kabisa kutulia sasa ??????* kweli eeh ?, Anaenda wapi?
SIKITU: Sijui bwana , na wala hata hainihusu ?, ila nilipo mwona akijiandaa nikahisi ohoo atakuwa anakuja kwako nini ???????
MIMI: nyumbani kwangu..??, nadhani Unajua Fika kuwa hilo haliwezi kutokea.
SIKITU: Nakuamini Sana mpenzi wangu . * aliongea huku akijilaza kitandani ****, wacha nipumzike kidogo mpenzi, nimechoka.
MIMI: ** Nikaishiwa pozi... Amani ikapotea kabisa, ohooo *, sawa mpenzi.
Muda Huo huo Kuna Ujumbe uliingia kupitia whatsapp , Nilipo-uangalia vizuri nikagundua ilikuwa ni text kutoka kwa jackline
"mpenzi , nipo njiani nakuja nyumbani kwako, nimeamua nichukue boda boda tu".
*mungu wangu.... Usije ohooooo , sasa Leo nitalimaliza vipi hili?? ????????
..
Sikuwa na utulivu kabisa, kwa mbali nikawa nahisi Kama nafsi yangu imegawanyika, upande mmoja wa nafsi ukinizomea ?? huku upande mwingine ukinitia moyo! Moyo Wangu ulikuwa unadunda Sana, kichwa kikawa joto nikawa naona nimeharibu kila kitu, akili yangu muda wote huo ilikuwa ikitapa tapa..nikaanza kufikiria kitu gani nifanye? .Nikatamani akili ifanye kazi zaidi Hata ya kompyuta Ghafla, nikiwa bado nafikiria , kuna wazo lika-katiza ndani ya akili yangu.
*nadhani mungu,hakutaka Niaibike Siku hiyo *?? ????????
Nikaichukua simu yangu, na moja kwa moja nikafungua faili lenye nyimbo , kisha nikabonyeza nyimbo ambayo huwa naitumia Kama muito(ringtone), ikaanza kulia.. Nikaiacha ilie kwa muda ,kisha nikai-stopisha,nikainyanyua simu na kuiweka sikioni.
"Halloo!?, Nan Mwenzangu.. ?? ?"
"NANI !!!!!!, kutoka hospitali gani?"
"Ajali!!!?? , imetokeaje?? "
"OMG !!!, ni mbaya Sana???"
"SAWA!! ,Nakuja hapo sasa hivi !
** sikitu alikuwa Amenikazia Macho muda wote huo** Baby , kitu gani Kimetokea??
"Sikitu, nimepokea simu kutoka Bugando Hospital , wamenambia mmoja Kati ya majirani zangu amepata ajali mbaya, na anatokwa na damu nyingi Sana hivyo niende haraka maana Muda wowote anaweza kufariki.
SIKITU: ok mpenzi, wewe nenda haraka, mimi Nitakusubiria hapa.
MIMI: * oohoo huyu naye cha kusubiria hapa ni nn sasa, ?? **. Huwezi kunisubir,!! Naweza nisirudi kabisa Leo , Maana hata Hali yake sijui ni jinsi gani ilivyo baby! Nadhani Tutaonana Kesho white house.
Nikavaa shati langu na Aina flani ya ndala zilizokuwepo chumbani kwangu ,Nikatoka Nje kisha Nikafunga mlango na kufuri , kwa bahati nzuri kuna boda boda alikuwa anapita nikamsimamisha . Bado, sikitu alikuwa amesimama pale nje akisubiri boda iondoke , *muda huo nilikuwa bado sijui cha kufanya ???? Nikamwambia dereva wa boda anipeleke bugando hospital . Wakati Boda ikiwa ishaanza kutembea , nikageuka nakumwona sikitu akiondoka huku akigeuka geuka nyuma kuniangalia.
** "duuuh ,Huyu msichana naye...kama Li-mzimu!! Ona sasa kidogo tu aharibu kila kitu*??????
Boda ilitembea mwendo kidogo tu na baada ya kula kona ya kwanza, nikamwambia dereva " hebu.. Niache hapo.. Kuna kitu cha muhimu Sana nimekisahau mezani "
Chukua,hii buku (tsh1000)..uende. .nisikucheleweshe! . Nilipita njia za mkato hadi nikatokezea nyumbani kwangu , nikatumia mlango wa nyumba kuingia ndani. Baada ya kuingia chumbani kwangu ile kutupa macho Kitandani nikagundua kuwa sikitu alisahau hereni zake juu ya kitanda. Haraka haraka nikazichukua na kuzificha Mahali pengine.
Wakati nikiwa natandik vizur shuka la kitanda, Mara simu yangu ikaita ..ilikuwa ni simu kutok kwa jackline... Nikasubir ikaita kidogo kisha nikaipokea....
MIMI: hello Jackline , uko wapi?
JACKLINE : Niko Hapa mbele ya nyumba yako.
MIMI: umejuaje kuwa ni nyumba yangu? ?
JACKLINE: Sijui, mimi najua tu niko mbele ya nyumba iliotajwa kwenye anuani yako.!
MIM: sawa mpenzi, nakuja sasa hivi
Nilitoka nje na kumuona Jackline akiwa-amesimama mbele ya nyumba yangu akiwa amevalia gauni flani fupi lenye rangi ya pinki lililo acha sehemu kubwa ya mapaja yake ionekane vilivyo.nikajikuta najisemea “daah leo ni leo” *
Jackline aliingia, kisha nikafunga mlango na moja kwa moja akakaa kitandani kwangu akiitazama ile movie ya kikubwa