MIMI: ** nikatoa begi langu mgongoni, nikakaa nalo kwenye sofa! ** sawa ma.
MADAM: hivi hufikirii Kama kuna haja ya kuniomba msamaha kwa sababu hukunisikiliza??
MIMI: nilifanya hivyo jana usiku, lakini ulikataa kabisa kunisikiliza ukawa unanifokea tu.
MADAM: unaona alvine , baada ya kukufukuza jana usiku , nilikaa chini ...Nikalifikiria lile suala upya , na nikagundua kuwa halikuwa kosa lako !
MIMI: sio kosa langu kivipi madam? **nikamuuliza tu ilinimsikie *
MADAM: kwanza kabisa , mimi ndiye nilianza kwa kukuita uniletee sabuni chumbani kwangu... Kitu ambacho baadaye kilipelekea.. Mpka biringanya lako kuchachamaa! Pili, Nilikuita Tena uje unifanyie massage Ilhali Mimi nikiwa uchi, Tatu nilishindwa kukuzuia.. Wakati ulipo kuwa unatumia vidole vyako! Lakini kwanini ulishindwa kufuata maelekezo rahisi kabisa ambayo nilikupatia, " usithubutu kuingiza Nanii Yako "
MIMI: samahani madam , nilijikuta nimepitiwa.
MADAM: na hilo ndo kosa lako!. Mimi ni mkristo mzuri hata mbele za mbingu na ni mwanamke mwaminifu Sana Tena Ambaye nimekwisha funga mpaka Ndoa , nimekuwa Mwaminifu Siku zote ,hadi hiyo Jana , uliponifanya kuwa mzinzi na mwenye dhambi, kwa kufanya mapenzi na mimi Tena bila idhini yangu ?? ??!!!
MIMI: Nisamehe madam
MADAM: hakuna shida. Rudi kwenye chumba chako. Kitu pekee unachotakiwa kufanya, hutakiwi kuingia chumbani kangu TENA!!! na Mara zote jitahidi kukaa mbali na mimi kadri uwezavyo na kilicho tokea Kati yetu Jana usiku.. Inapaswa kuwa Siri yetu sisi wawili.
MIMI: Asante Sana Madam , lakinI mimi lazima niondoke.
MADAM: kwanini sasa uondoke?, Kwan Kuna jambo lingine Labda Ambalo silijui?
MIMI: ndio madam!
MADAM: jambo gani?
MIMI: sababu ya kwanza!,Jackline anaanza mitihani yake ya mwisho kesho hivyo sioni sababu ya Mimi kuendelea kukaa hapa,, lazima Nirudi tu nyumbani kwangu.. Labda Mpka jackline akirudi ndo naweza kuwa nakuja kwa ajili ya maandalizi mengine Kama yapo .. Kisha narudi kwangu.Pili, unaweza usiendelee kuniamin kabisa hasa kwa kina jackline na sikitu..kama nikiendelea kuishi hapa utakuwa ukidhania kuwa.. Nitakuwa Nikifanya kitendo Kama kile na wao pia, Tatu, kadri unavyo zidi kuniona, ndivyo utakuwa unalikumbuka lile tukio , hivyo unajikuta ukizidi kunichukia zaidi.
MADAM: noo!! Unayafikisha mbali Sana haya mambo Alvine!! , anyways Kama umesisitiza kuondoka..siwezi kukuzuia..ila Naomba univumilie kidogo mpka pale jackline atakapo rudi ndo uondoke, maana sitaki nyumba iendelee kubaki wazi.
MIMI: sawa madam .
Nikachukua begi langu , nikazipanda ngazi nakurudi chumbani kwangu.
MADAM: noo!! Unayafikisha mbali Sana ya mambo!! Alvine, anyways Kama umesisitiza kuondoka..siwezi kukuzuia..ila Naomba univumilie kidogo mpka pale jackline atakapo rudi ndo uondoke, maana sitaki nyumba iendelee kubaki wazi.
MIMI: sawa madam .
Nikachukua begi langu , nikazipanda ngazi nakurudi chumbani kwangu
*??
Nilikuwa nimejipumzisha kidogo ndani ya chumba changu juu ghorofani ,Mara sms ikaingia kwenye simu Yangu, ulikuwa ni ujumbe kutoka kwa rafiki yangu... Aliyekuwa akisimamia Mitihani ya kina Jackline, alinitumia Majibu... Nikayatuma Upesi kwa jackline
*
turudi, Nyuma Kidogo *
Aahhm Ijumaa jioni, nilipokuwa nikichat na jackline...tulijadili pia kuhusu suala la mimi kumtumia majibu.. Nikamwambia asijekusahau kutoa sauti kweny simu yake.. Huku nikimwongopea kuwa imenigharimu shilingi laki moja na nusu kuyapata hayo majibu.
Alifurahia sana baada ya kusikia kuwa nimeweza kufanya jambo kubwa Kama hilo kwa-ajili yake , akanambia anashukuru Sana kwa kumjali , na aka-ahidi kunifidishia hilo atakapo rudi nyumbani Siku ya jumapili. upande wa pili , Sikitu Alionekana kuni-miss Sana kwani niliweza kuliona hilo kupitia maongezi yetu nilipo mpigia simu ili anielekeze jinsi ya kuandaa ule mlo wa usiku. aliniambia jinsi lafudhi yake ilivyobadilika huko nyumbani, jinsi alivyokuwa akizungumza Kiingereza na kuwasaidia watoto kufanya maswali ya hesabu, akanambia jinsi rafiki zake wanavyo muonea wivu.. Na mpka Majirani zake wanamtamani na Akaniahidi kurudi Siku ya Jumanne.
Sehemu inayofwata ni mwisho nitapost kulingana na comment zenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Gily ita watu uku
Mjep mambo yapo teyar