Chombezo: Bilinganya la mwalimu

Chombezo: Bilinganya la mwalimu

Ww bhna mchoyo
Leo nimepika Mimi mwenyewe duu muda sana sijapika...asbh nimeanza na Spanish Omelette a.k.a Tortilla.....
Alaf nikatoka kwenda kufanya tourist activities tembea sanaa....
Mchana tumerud nikapika tena msosi mtamu
Nikacheki gemu ya SIMBA nikafurah japo tumepata ushindi mwembamba....
Nika Anza kuchek movies nimeangalia COCAINE BEAR 🐻🐨

Saa tatu Nika ingia kwenye maombi nimemaliza muda Si mrefu...muda huu nimekuja full time 😊😊
 
Leo nimepika Mimi mwenyewe duu muda sana sijapika...asbh nimeanza na Spanish.....
Alaf nikatoka kwenda kufanya tourist activities tembea sanaa....
Mchana tumerud nikapika tena msosi mtamu
Nikacheki gemu ya SIMBA nikafurah japo tumepata ushindi mwembamba....
Nika Anza kuchek movies nimeangalia COCAINE BEAR 🐻🐨

Saa tatu Nika ingia kwenye maombi nimemaliza Si mrefu muda huu nimekuja full time 😊😊
Oh vizr shem kapumzika leo
 
Leo nimepika Mimi mwenyewe duu muda sana sijapika...asbh nimeanza na Spanish Omelette a.k.a Tortilla.....
Alaf nikatoka kwenda kufanya tourist activities tembea sanaa....
Mchana tumerud nikapika tena msosi mtamu
Nikacheki gemu ya SIMBA nikafurah japo tumepata ushindi mwembamba....
Nika Anza kuchek movies nimeangalia COCAINE BEAR 🐻🐨

Saa tatu Nika ingia kwenye maombi nimemaliza muda Si mrefu...muda huu nimekuja full time 😊😊
Good bro very good. .
 
Back
Top Bottom