Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Tofautisha culture na umalaya tafadhali
 
Aiseee
 
Mimi sio mwalimu, huko shuleni mlipelekwa kusomea ujinga?
We Jamaa bongolala kweli umesoma vizuri title ya mada yako, huo ujinga ulioandika kwenye title kuhusu vikuku na vipini umejifunza wapi kwenye vijiwe vya kahawa?, si ni wewe uliesema Malaya na kahaba wanatofautiana hio inaonekana unawafahamu ndipo nikakwambia basi kamusi ya koswahili sanifu itusaidie maana kila kitu kimeandika kwenye kitabu
 
Mimi nina jirani yangu tena hatumii hivyo vitu ila ni mgawaji wa papichu mzuri,Mwanamke malaya utamtambu kwa mienendo yake wengi wanapenda excuse pale wanapokuwa na majambo yao.japo ulizo taja hapo zinawezakuwa ni indicator tu ila sio ndo conclusion kwasababu kuna watu wanavaa alaf wapo cool.
 
Malaya ni mgawa ngono.

Kahaba ni muuza ngono.

Nirahisi kahaba kubadilika ila siyo Malaya.
Kwa mujibu wa tafsiri yako binafsi

Basi mujibu wa tafsiri yangu Mimi:

Prostitute in Swahili means kahaba/malaya na ukienda kwenye definition Jibu linakuja ni wauza uchi (sex workers)

Kahaba/malaya ni yule anaeuza uchi ili apate pesa
 
Umekuwa mtoa hukumu bure kwa watu
 
Umekurupuka hukufanya utafiti wa kina kwani kwa upande wa utamaduni wa mswahili utakutana na vitu hivyo tena vinatumika tokea zama za zamani
 
Shanga si umalaya we kengeuke

Mimi mke wangu imebidi nimnunulie shanga niweze kumfaidi ipasavyo
 
Watu wa bara ni washamba Sana 🗑️
 
Tofautisha culture na umalaya tafadhali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu bhana...!! Umekuwa mkali sanaa slow down utaelewa watu wanasema nini.. Unachukulia mambo too general sasa kwa uhakika siku muone mwanamke kavaa hicho alafu anaonekana ana maisha achana na hawaa waliofubaaaa alafu fanya kwenda nae kwa swaga kama unamtongoza malata uonee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…