Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Wewe Mngindo?
Unayajua mambo weye
 
Shanga kwa mwanamke zinapendeza hasa ukiwa na kiuno,tena kijue kucheza,inaleta raha hatari.
Leo umenikumbusha kuchezwa, mizungu,ha,haaaa..."Somoe", mbaya ww.
Usitoe tena siri za chumbani.
Kwa hiyo uko vizuri kwa mauno?
 
Binafsi nazipenda ila sijui matumizi yake... kaka jr ningeomba kama inawezekana japo ka clip tuu cha jinsi ya kuzitumia... I real wish jaman mana kiuno kipo[emoji85] [emoji28] [emoji28] ila sasa matumiz sijuiiiiiii
wewe sio mwanamke wa Dar manke mnajijua wenywe tumbo kubwa tako kubwa shapeless hlf mnaringa htr
 
Zilimkatikia dada mmoja posta mpya, wakati tukigombania dalala, watoto wa kihuni acha waanze, dada amwemwaga lazi, chachandu inamwagika. Mdada hakuinua uso.
[emoji23][emoji23][emoji23]dada kamwaga lazi[emoji23][emoji23][emoji23]
mm nawashangaa sana wanaovaa shanga mitaani, kazini
mtu anaenda kkoo na shanga
afu kavaa suruali na kiguo cha kumbana...

shanga zina mahala pake
kazi zake
na mtu wake
ila wadada wa mujini hawaelewi... kkoo na mashanga ukipanda gari yananyanyuka
aibu gani
 
Unakutana na dada anateremka kwenye gari kiuno kinabaki wazi kapanga shanga mingi zile zenye rangi za Maraster unajiuliza huyu naye raster ama ndo combination ya rangi tu..Hadi anaonekana mchafu....
Umenichekesha..umesahau na mbikini usio na rangi ya kueleweka
 
Shangaaa, nimebaki nacheka tu. Mke wangu hatabiriki, naeza zikuta 30 au 5 tu. Kiukweli zina raha yake zikija kama surprise, akapumzika siku moja mbili ili uzi miss dah... Shanga hizi zina utam wake, na ni moja ya vigezo vitavonifikisha mbali na mke wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…