Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Naaaaaam mshana nimekupata vilivyo ndugu yangu, [emoji23] [emoji23] [emoji23] .


Shanga zina maajabu yake pindi mnapopasha au mumeleza game kama ile Dar Derby. Pia umesema vyema kwamba Kama hujui kizitumia waachie wenye wanajua(kwa lafudhi ya Kikenya).
 
Kuna mwanamke nilikutana nae anavaaa hzo mivitu nikamwambia siku T mpaka utoe, sionagi maana yke kwangu
 
Kwa upeo wangu mdogo shanga huvaliwa pia sio tu kwa kuonyesha utundu kitandan kwa mwanamke pia mkuu mshana alivyosema kwamba huwezi ukavaa shanga nyeupe utachekwa kila rangi ya shanga kiunon huwa inamaana yake niliwahi ambiwa kuwa muda mwingine shang hutumika kama lugha ya vitendo pindi mwanamke atakapo ivika kiunoni bhasi kutokana na rang aliyoivaa inaamana kwamfano red humaanisha period njano nakadhalika mama ntakuwa nimekosea mtanikosoa na pia kjna rangi mwanamke bidada akiivaa huwa anaonyesha kuwa na msisimko wa kutaka tendo kuna rangi akivaa huonyesha siku mbaya danger day na pia kuna rangi hivo ivo ila hawa wanaovaaa Silva na gold sijui wanamaanisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom