Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi


UMEONA eh mumy, hata mi nawashangaa, sijui wanasau kuvua?
au ndio wanafikiri shanga kama mkufu wa kuvaa kila kona?

Ushanga wa kiunoni unavaliwa nyumbani tu, ukitoka nje ya nyumba unavua.
 
Wanawake wa Tanga wengi wanavaa shanga, mwanzoni nilikuwa sizipendi lkn sasa hv nachukulia kawaida..kuna mmoja alivaa cheni kiunoni sasa mimi sikujua kama kavaa basi ile haraka haraka ya kumvua nguo ya ndani nikaikata[emoji3] [emoji3] [emoji23]
 
UMEONA eh mumy, hata mi nawashangaa, sijui wanasau kuvua?
au ndio wanafikiri shanga kama mkufu wa kuvaa kila kona?

Ushanga wa kiunoni unavaliwa nyumbani tu, ukitoka nje ya nyumba unavua.
Wajasiliamwili, hua wanawahi masoko
 
Zilimkatikia dada mmoja posta mpya, wakati tukigombania dalala, watoto wa kihuni acha waanze, dada amwemwaga lazi, chachandu inamwagika. Mdada hakuinua uso.

Tukio kama hilo lilitokea uswahilini kwenye zile ngoma zao ilikuwa kitu kama 1999 kuna jamaa alienda kuangalia show basi kuna mdada kwenye kumwaga radhi na uchezaji wake shanga zilikatika na kuruka kuna moja ikamuingia jamaa mdomoni.dahh ilibidi afanyiwe operesheni maana ilinasa sehemu mbaya
 
NINI KAZI YA 'SHANGA ZA KIUNONI' KITANDANI NA NINI MAANA YA RANGI ZAKE.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji108]




[emoji136][emoji136],naomba tuongelee rangi za shanga kwa wale wanaopenda kuvaa shanga.


[emoji818][emoji818]Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa amawanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka.[emoji818][emoji818][emoji108][emoji108]



[emoji818][emoji818]Wanaume wengi wanaopenda wanawakewao wavae shanga ili kusisimuana tu .


[emoji818][emoji818]Je mnafahamu zinamaanisha nini?. ...Karibu tujifunze pamoja.



[emoji108][emoji108]Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka . Leo nitagusia sana na simulizi ya rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona bora niandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake.[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]










[emoji173][emoji173]Nyekundu :


ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).


[emoji189][emoji189]Nyeupe :


ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.


[emoji63][emoji63]Nyeusi:


ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwa hiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia siku nzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyew
 
Wengine UDENDA Utatoka, Ila Siri Yao.
Kwa WASUKUMA hii kitu ndo sana. Maana harusi inaweza kufa kama bi harusi akija hana shanga
Kiukwel ni nzur sana
 
Hahahhh
 
 
Mahali pake
Mtu wake
Shughuli yake
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji106]
 
Wanawake wa Tanga wengi wanavaa shanga, mwanzoni nilikuwa sizipendi lkn sasa hv nachukulia kawaida..kuna mmoja alivaa cheni kiunoni sasa mimi sikujua kama kavaa basi ile haraka haraka ya kumvua nguo ya ndani nikaikata[emoji3] [emoji3] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa kuandika inaonekana kama kituko ila tukio hilo sitalisahau kamwe kwa sababu jamaa akija school watu wote walikuwa wanamcheka wanamwabia ehhh ulichokuwa unakitafuta sasa umekipata
 
Jr, ulienda chuo gani? Shanga ni chachandu kama zilivyo chachandu nyingine. Zinanogesha "mlo"!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu na fani zao! Je Zikiwa mchanganyiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…