Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
1475321415390.jpg

Naweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka.

Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika.

Shanga hazivaliwi tu kama kuvaa, kuna rangi kuna idadi... Mara nyingi huwezi kukuta binti kavaa shanga nyeupe.... Shanga kwa uchache huvaliwa 3 na kwa wingi kabisa 32.

Si kila kiuno cha mwanamke kinafaa kuvishwa shanga, ni lazima kiuno kibebe umbo la kike hapo ndio shanga zitaleta maana na hasa zikipata fundi wa kuzichezea (kama jr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85])

Na si kila mpenzi ni mpenzi wa shanga kwahiyo shanga hazivaliwi kama fasheni kama tunavyowaona mabinti wengi siku hizi wakiwa na ushanga mmoja wa gold shaba ama madini mengine.

Mwanamke mtundu na mwizi wa mahaba anajua vema kuziviringa chini ya kiuno cha mwanaume na mwanaume akachanganyikiwa kabisa! matumizi ya shanga ni sanaa ya aina yake kabisa ni ufundi ni utundu.

Usivae ushanga/shanga kama hujui matumizi yake utatia aibu na wewe kama hujui jinsi ya kucheza nazo ziache kama zilivyo kaka utajikuta umezikata zote na kupewa adhabu ya kuziokota na kuunga zote.

Kitu kingine muhimu kabisa kwenye shanga ni usafi mwanamke mchafu daima havai shanga zitamnukia azidi kuonekana wa hovyo.

Je wako anazo kiunoni? Ngapi? Unajua kuzitumia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ya Tanga waachieni wajuzi wake asijekwambia anataka kunku ukajua ni nyama ya kuku[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unakutana na dada anateremka kwenye gari kiuno kinabaki wazi kapanga shanga mingi zile zenye rangi za Maraster unajiuliza huyu naye raster ama ndo combination ya rangi tu..Hadi anaonekana mchafu....
 
Unakutana na dada anateremka kwenye gari kiuno kinabaki wazi kapanga shanga mingi zile zenye rangi za Maraster unajiuliza huyu naye raster ama ndo combination ya rangi tu..Hadi anaonekana mchafu....
Zingine ni za kishirikina
 
Binafsi nazipenda ila sijui matumizi yake... kaka jr ningeomba kama inawezekana japo ka clip tuu cha jinsi ya kuzitumia... I real wish jaman mana kiuno kipo[emoji85] [emoji28] [emoji28] ila sasa matumiz sijuiiiiiii
[emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom