Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,037
- 767
- Thread starter
- #21
CHOMBEZO:
PAULA MFARANSA MWENYE VISA
SEHEMU 7
Mtunzi: Eng. Kimox Kimokole - 0786507507
Habiba akapotea mbele ya macho yangu akiniacha natafakari, huyu ananipa hongera ya nini hasa, sikupata jawabu. Nikapotezea na kuendelea na kazi zangu. Muda wa kutoka kazini unafika na najitahidi kuzishuka ngazi harakaharaka ili kuwahi niwahi kwanza kupitia kwa John kwa michongo miwili mitatu ya town. Nikapita ofisi ya kina Habiba na Nino lakini hawapo. Nadhani leo wamewahi kutoka sana.
Kwa mwendo wa haraka sana nawahi parking na kujitupia kwenye Subaru. Naitekenya na kuisikilizia kidogo kabla sijairudisha nyuma kupata uelekeo wa kutoka. Ghafla kioo changu cha dirisha kinagongwa kwa ncha ya konzi. Nashusha kioo kidogo na kukutana na sura ya Juma, akaegemea kwenye dirisha kisha akaniuliza, “Kimox, yule mtoto wa mgahawani mwanangu unaruka naye? Chombo kimesimamia kucha kile hatari mwanangu...” Nikamtazama Juma nikiwa nimechanua kwa tabasamu, “Aisee kaka, yule manzi wala simjii kabisa huwezi amini. Nimekutana naye palepale mgahawani na tukaachana palepale kila mmoja na time yake.” Juma akachekaaaa kicha akaniambia, “We acha fix zako bhana, chombo mmeongozana kabisa mpaka mnaenda kulipa na ukatoka nacho nje? Hongera bro, kitu kimesimamia kucha kile.” Nikamwambia aache ufala, aamini ninachomwambia lakini ni kama alikuwa hanielewi vile. Nikamuaga nikapandisha kioo na kuichomoa Subaru.
Nikachoma mafuta kuitafuta Uhasibu kupitia Kurasini ili kukutana na John. Nikamkuta ameshawahi kitambo tu ananisubiri pale Liquid Pub Uhasibu akiwa anapiga vyombo kama kawaida yake Mchaga huyu. Tukachonga deal zetu kisha tukaagana nikarudi zangu Kigamboni kupumzika. Nilipofika home nikamcheki Rose kwa simu na kumtaarifu kuwa nimefika. Tukapiga stori za kimahaba na kuchombezana tukaagana nikimuahidi kumcheki muda wa kulala.
Baadae kwenye saa tatu usiku hivi nikamcheki Nino, simu yake ikaita mara moja tu kisha ikapokelewa, ni kama simu ilikuwa mkononi na inasubiri kupokelewa ama mtumiaji aliisubiri sana simu yabgu. Nikasikia sauti upande wa pili ikihema baada ya mimi kusema neno “Halloo.” Nikaita tena “Hallo!” kwa mara ya pili sauti ikanijibu “Halloooo!!” Ilikuwa sauti ya Rahma Nino wa Kimox.
“Mambo vipi Nino?” nikamuuliza
“Safi tu, vipi wewe?” akajibu
“Kimya sana ujue Nino wangu, nimekukwaza?” nikamuuliza
“Hapana Kimox, mbona niko poa tu, hajambo Jenifer?” alinijibu akisukuma na swali
“Jenifer ndo nani Nino?” nikauliza
“Si yule uliyekuwa naye mgahawani leo!!! Mlipendeza sana yaani, hongera” akachombeza
“Sikia Nino, yule kama ni Jenifer basi ndo unaniambia wewe, mi simjui hata jina na ndo kwanza nalisikia kwako. Nimekutana naye pale pale na wala sina mahusiano naye...” nikaanza kumuelewesha
“Weee!!! Acha uongo wako hapa. Mpaka mmeongozana kaunta na mkasindikizana nje kila mtu anaona!!!! Yaani we una uongo wa kitoto sana ujue...” alinikata kauli huku akitiririka.
“Amini hivyo ninavyokwambia basi!!! Ila kama huamini sina namna nyingine ya kuelezea, isitoshe nimepiga simu kukusalimia tu. Uwe na jioni njema” nikamjibu.
“Kwa hiyo ndo umenuna? Si nimekwambia tu jamani au kosa langu lipi hapo?” akaniambia.
“Usijali, lini una muda tukae tuongee unajua majuzi yale haikuwa poa sana...” nikamwambia kwa upole sana. Nino akashusha pumzi kama katua mzigo mzito hivi kisha akanambia, “Tutapanga basi Kimox wala usijali” Tukaagana nikakata simu.
Kwenye saa nne usiku nikamcheki Rose tukaagana ili nilale. Asubuhi ya Jumanne ikawa kama kawa tena. Nikajiandaa lakini leo nikiwa nimetinga suruali ya Kadeti ya rangi ya brown, shati jeupe na tai nyekundu. Chini nilitinga kiatu simple chenye rangi nyeupe na vijimistari vyekundu. Nikachomoka na Subaru kama jama yake. Nikaingia kazini kama kawa kuchapa kazi. Siku ya leo ni tulivu sana maana kazi si nyingi na hali ya hewa ina mawingu mawingu kiasi. Muda wa kula nikabadili kijiwe leo maana Paula aliniambia nimkute maeneo ya IFM kupata chakula cha mchana.
Nikachomoka na Subaru mpaka jirani na IFM, kwa maelekezo ya Paula nikamkuta akinisubiri kwenye mgahawa. Alikuwa ameagiza maji tu na ameyanywa kiasi kidogo sana. Tukaagiza chakula na tukaanza kula huku tukipiga stori mbili tatu. Akaniambia amepata rafiki mpya kampa jina Simba. Ni kijipaka ambacho amekiokota kikiwa hakina mzazi na anacho kule hotelini. Alihitaji akitunze kwa maana hakina afya kabisa. Nikajiwazia kimoyo moyo, “[hawa wazungu bhana, yaani unaokota kipaka huko unakijali kama sijui kitu gani dah...].” Akaniambia jioni nipitie hotelini nikamuone paka wake mpya na nimsaidie ili tumpeleke kwa daktari wa wanyama akapate chanjo na kuangalia afya yake.
Tukaongea mengi sana na baada ya msosi mimi nikarudi kazini kwangu kwa ahadi ya kwenda Kilimanjaro Hotel Hyatt nikakutane naye. Naye akaelekea lilipo jengo ambalo zamani ilikuwa Embassy Hotel ambako ndiko kiuna ofisi yao hapo. Nikamwambia nitampitia hapo ofisini kwake ili twende wote Hotelini.
Baada ya kazi nilifika nje ya jengo la ofisi ya Paula nikamkuta ananisubiri nje. Akafungua mlango wa kiti cha mbele akachoma ndani mtoto wa kizungu. Akazirusha nywele zake ndefu kwa nyuma na kunisalimu. Nikaitikia na kuisereresha Subaru Nikikunja kulia mtaa wa Ohio kuitafuta Hyatt Hotel “The Kilimanjaro”. Nikaingiza gari moja kwa moja parking kisha mimi na Paula tukaongozana mpaka chumbani kwake. Nikajibwaga kwenye kochi hapa kwenye kisebule wakati yeye akiingia chumbani. Akatoka akiwa ametupia khanga na paka wake mdogo mkononi kampakatia. Akanifikia na kuniambia, “Kimox, meet my new friend Simba, and Simba meet Kimox” akanikabidhi paka wake. Nikampokea na kuanza kumpapasa papasa paka huyu aliyedhoofu kiasi. Bila shaka paka huyu ni wa mtaani kama alivyoniambia kuwa alimuokota jana.
Akalijongea jokofu na kutoa wine, akatenga glass mbili mezani na kumimina kiasi kwenye kila glass. Akanyanyua glass moja na kunikabidhi nami nikaipokea. Nikapiga funda moja na kukunja sura wakati nikiihisi ikishuka kwenye koo langu na kunipa msisimko kama shoti flani hivi. Kibaridi cha AC mule ndani nikaona kama kinayeyuka flani hivi. Paula akakaa kwenye kocho pembeni yangu miguu akiwa ameikunja nne na mkao wa kimiss mkononi akiwa na glass yake akipiga stori. Akanisimulia kazi iliyomleta na mambo mengine tangu tulivyokuwa Ujerumani.
Wakati akinipigisha stori zote hizo mi tayari wine ilishaanza kunitibua. Nikimuangalia mapaja yake yalivyonona na vile kama ananifanyia makusudi basi ikaanza kuniletea shida. Chuchu zake zilizosimama kama zinataka kutoboa khanga zilinipa wehu. Ana umbo la kibantu wakati ni mzungu pure kabisa, sijui kalitoa wapi umbo hili huyu mtoto.
Macho yake malegezu yenye mboni za blue yalivutia kunitazama kama mdoli. Alikuwa na blond hair (nywele za kizungu za dhahabu) ndefu mpaka mgongoni lakini muda huo alizizunguusha fungu kubwa kisogoni kwake kwa juu na kuweka chupio. Nikaanza kuhisi kama joto hivi nadhani sababu ya kinywaji kile. Nikalegeza tai kwa kuivuta usawa wa kifua kisha nikafungua vifungo vya shati mpaka nusu ya kifua. Nina kifua kipana chenye nywele kiasi. Nikaona Paula kama anapoteza umakini hivi (concentration) baada ya kuona kifua cha mwanaume kilichonona.
Kila tukiongea anatazama kifua changu maana alishahama kochi akawa amekaa la mbele yangu aliporudi kutoka uwani. Nikawa nimekaa kwenye kochi huku nimejiegemeza kwa nyuma tukiendelea kupiga soga naye kwa mapozi ya kike akiendelea kuongea lakini nikihisi akiniangalia mara kwa mara kifuani. Akaubetua mguu wake mmoja kwa juu kuikanyaga stuli na khanga ikaachia paja lililonona la Paula. Nadhani wine ilikuwa iko njema, nikahisi tango langu likijaa ndani ya boksa na kusheheni. Mawazo yakanipeleka namna kama ningekuwa naupapasa ule upaja. Mvurugano wa mawazo nikawa kama nimesizi hivi kimtindo. Kumbe Paula alishaona ule mvimbo kwenye suruali kwa juu jirani na kiuno. Aliona namna panavyopumua kama kuna chura kahifadhiwa hapo.
Macho yangu nimeyagandisha maungoni mwa Paula. Hata sijui kama stori nilikuwa napiga sawa sawa ama laa. Nilishahama aisee, mimi kijana wa kiafrika hasa tena nimeenda jando chaji iko ON. Siyo kama hawa wazungu mpaka wafanye boosting zakutosha. Nikawa nawaza hapa naanzaje anzaje kutoka kwenye urafiki kwenda kwenye kile ninachokifikiria kwa muda huu? Sijawahi kula “mbunye” ya kizungu nasikia tu kwamba ni frigid (baridi) na nilitamani kuona kama kweli ni za baridi au ni stori tu. Kila nikipiga hesabu gia ya kuanzia sipati picha. Tatizo mitoto ya kizungu bhana ikishakuchukulia rafiki basi iko hivyo. Pumbavu kabisa!!! Kibongo bongo nshachombeza kitambo tu yaani....
Nikamuuliza kama ana mpenzi akanijibu ndiyo, yupo kwao Ufaransa na wana miaka 4 sasa kwenye uhusiano. Kwa mara ya kwanza akanijibu hivyo maana kule Ujerumani hakunipa nafasi ya hayo mambo kujadiliwa. Akaniuliza kwa nini nimeuliza swala hilo. Nikamjibu nimeona ni vyema tu nijue na wakati huo nikahisi duduwasha yangu ikinywea ndani ya boksa. Nikajisemea hapa hamna kitu ngoja niage nisepe isitoshe hii wine isije ikanichukua nikaitumbukiza Subaru kwenye maji pale kwenye gati la Pantoni.
Nikamuaga ili nisepe maana sikupata gia ya kumuingia kwa kweli ingawa mikao yake ilinipa shida sana. Kama alikuwa ananitega au laa mi sijui lakini hawa wazungu wenyewe huwa hawajali lolote ninavyowasikia stori zao. Anaweza kukaa na bikini tu hapo halafu yeye wala hawazi chochote anaona sawa tu. Sasa hii ilinipa ugumu kujua status yake ni ipi Paula huyu. Nisije nikaingiza machombezo nikaua urafiki wenyewe.
Paula akaniomba jambo moja muhimu sana. Akaniambia nimsaidie kumlea paka wake maana pale hotelini hawaruhusiwi kuishi na wanyama. Yeye alimuomba mhudumu du kwa muda na kwamba nitakuja mimi kumchukua kwa ajili ya matunzo. Mimi si mpenzi wa hivi vimnyama aisee lakini nikikataa nitakuwa nimemuangusha sana. Nikamwambia poa nipatie Simba huyo nitaenda kumtunza na atakuwa salama kabisa. Paula akafurahi sana sana. Akanyanyuka akaja kunikumbatia kwa furaha.
Nilimpokea kifuani kwangu na akanikumbatia kwa nguvu sana. Chuchu zake zilikaribia kutoboa kifua changu. Alizunguusha mikono yake shingoni mwangu akikilaza kichwa chake kwenye bega langu nami nikamkamata kiunoni kwa nguvu nikimkandamiza kwangu. Tango langu likatutumka kwa nguvu sana na kumchoma choma eneo la tumbo na nahisi alilijua hilo kwa maana aliendelea kunikumbatia tu. Nikashusha mikono yangu mpaka kwenye matako yake yaliyojaa kibantu nikayabinya kidogo huku nikimkandamizia kwangu... Wakati nimemkandamiza namna hiyo na tango likimchoma akainua kichwa kuniangalia na kwa mbali nikayaona macho yake ile sehemu nyeupe kama nyekundu flani hv akaniambia, “wait here...” akiwa mikono yake amenishika magega kama anajichomoa hv wakati mi nimemng’ang’ania makalio kumkandamisa kwenye dhakari yangu.
Akatabasamu akajiondoa kwangu kwenda chumbani. Akarudi na kiboksi akakifungua na kunikabidhi saa moja ya mkononi kali sana. Akanivua ile niliyonayo akanivalisha saa hii mpya aliyonipa huku akitabasamu. Saa hii ya Paula inaoneshani ghali sana kwa maana ni Automatic isiyotumia betri, inajijaza yenyewe bila kuhitaji betri na haidhuliki na maji.
Akanishika mkono kunisindikiza kutoka nje kwenda kwenye parking akiwa amemkamatia paka wake mkononi. Akaniaga kwa kunibusu kwenye shavu kisha akamkalisha paka kwenye siti ya mbele akaniaga...
Itaendelea