CHOMBEZO:
PAULA MFARANSA MWENYE VISA
SEHEMU 16
Mtunzi: Eng. Kimox Kimokole - 0786507507
Nikiwa njiani kuelekea Handeni Mjini Rose akanipigia na kuuliza mbona jana jioni mpaka usiku simu yangu ilikuwa inatumika tu muda wote. Nikamwambia kuna muda nilikuwa naongea na simu ila hilo lingine la kuwa bize sijui kwa kweli. Nikaona nimpigie kabisa. Akalalamika kuwa simu yangu imekuwa busy sana sana muda wote. Kiukweli nilikuwa nimeblock namba yake jana jioni mpaka leo asubuhi. Sikutaka usumbufu kutoka kwake, nilihitaji kula raha na Paula.
Tukamaliza kuongea nikamuondoa block nikaendelea na mishe zangu. Jioni kama kawaida nikarudi Komsala na kula maisha na Paula kama kawaida kwa raha zetu. Nilipokuwa na Paula nikazima simu kabisa kupunguza usumbufu kutoka kwa Rose maana nilishaona missed calls zake. Siku tatu zangu zikaisha nikarudi zangu Dar nikiwa fresh kabisa sina stress wala nini.
Asubuhi nikaingia kazini na kukutana na Nino ambaye alinilaki kwa bashasha na kuuliza vipi maendeleo yangu nikamwambia niko poa sana na kweli aliniona niko poa maana uso ulijaa tabasamu. Nikakalia kiti changu na kuanza kazi za siku Rose akanipigia kujua kama nimeshakunywa chai nikamjibu tayari nilikunywa kabla sijatoka home akaongea kidogo akanipa mabusu na tukaagana. Mchana akapiga tena tukaongea na kuagana akinitaka niende nikale muda umeenda na kweli nilikuwa nimechelewa kwenda kula. Kwenye saa tisa na nusu akanipigia tena na kuniuliza kama niko sawa maana anahisi sauti yangu kama iko tofauti hivi kila akinipigia.
Sikuwa najua kumbe ukibadilika kwenye mahusiano sauti nayo huwa inabadilika wakati mimi nilijitahidi niwe kawaida tu ila yeye anahisi nina jambo linanisumbua mpaka sauti imebadilika siyo ile aliyoizoea. Pili akalalamika kitendo cha mimi kuchukua likizo ya dharula bila kumwambia. Nikajiuliza kazipata wapi hizi habari huyu mwanamke wakati kweli sikumwambia kama nimechukua likizo. Hata nilipokuwa Handeni bado nilijifanya kama niko Dar tu kumbe kashajua nimesafiri kwa likizo ya siku tatu. Nani kamwambia maana Kalunga amesema hajamwambia chochote wala hakwenda kule home.
Akaniambia jioni atakuja home maana amenimiss sana nikamkaribisha nikimwambia nimemmiss pia. Nikaendelea na kazi na baada ya muda wa kazi kuisha nikampitia Nino na kumrudisha mpaka Mombasa ili apande vi Hiace aende kwao nami nikageuza kurudi home kwangu Kigamboni.
Nikafika home na kumkuta Rose ameshafika kitambo tu akiwa anapiga story na Kalunga sebuleni. Nikajumuika nao kwa story baadae tukala chakula na kuangalia TV. Mpaka muda huu Kalunga hajui chochote kuhusu Rose kabisa na niliacha mambo yawe kama kawaida ili nisiharibu hali ya hewa. Muda wa kulala tukaelekea chumbani na Rose ili tukalale, tukaingia bafuni kuoga akajitahidi kuniogesha kwa mahaba kama yote lakini wala sikuwa na mzuka hata nukta. Alimshika nyoka wangu akimuosha vizuri lakini alikuwa amelala usingizi wa pono na kunywea kuwa mdogo kama sio nyoka wangu aisee.
Rose akaniuliza kama naumwa maana hajawahi kuona nyoka wangu akiguswa na mikono yake akashindwa kunyanyuka kwa vurugu na kupiga pushups lakini leo nyoka yuko dorooooo. Nikamwambia niko poa tumalize kuoga tukapumzike. Tukamaliza na kukijongea kitanda Rose akajitupa kitandani akiwa uchi baada ya kulitupa taulo kwenye sofa nami nikakaa kwenye pembe ya kitanda nikiwa na taulo najiuliza nianzie wapi.
Rose akaja nyuma yangu na kunikumbatia kwa kuzunguusha mikono yake kwa kuipitisha nyuma ya shingo yangu mpaka kifuani kama amenipiga kabali hivi akinipumulia sikioni. Akaingiza ulimi wake sikioni kwangu na kusokora sokora lakini wala sikuwa na mzuka hata nukta. Nikamuita, “Rose, kuna kitu nataka kukuuliza na uniambie vizuri bila kunificha chochote.” Akaniambia, “Niulize mpenzi wangu nami nitakwambia chochote utakacho baby..” aliongea kwa mahaba nadhani akiwa na nyege nyege akitaka tiba ya Mzaramo miye.
“James John ni nani wako” nikatupa swali moja kwa moja nikilitazama kabati mbele yangu sura nimeinyanyua na nimekunja ndita. Nilikuwa namuangalia Rose kupitia kioo cha kabati akiwa nyuma yangu wakati nalielekeza hilo swali kwake. Nikaona kapata mshtuko wa hali ya juu akawa kama amepigwa shoti ya umeme na kuganda kwa sekunde chache. Nikarudia swali tena, “James John ni nani kwako?” Rose akanyanyua sura na kunitazama kupitia kioo cha kabari pia akakutana na sura ya kiume yenye ndita na kuogofya. Hakuwahi kuniona nikiwa nimekunja ndita usoni hata siku moja lakini leo aliiona sura tofauti sana na sura aliyoizoea siku zote. Nikamuona midomo ikitetemeka na akipoteza uelekeo, lilikuwa kama shambulizi la ghafla sana kwake.
“James ni rafiki yangu...” Rose akanijibu huku akijiondoa mgongoni kwangu na kuegemea kwenye kitanda upande wa kichwani akiwa amekumbatia mto kana kwamba anasikia baridi sana. “Urafiki wenu wa aina gani”? Nikamtupia tena swali. Akanyamaza kwa dakika kama mbili kisha akasema “Ni urafiki wa kawaida tu kama urafiki, he is just a friend Kimo...”. Nikageuka nikamtazama kwa dakika kadhaa nikiisoma sura yake na kukuta akiweweseka namna ninavyomtazama. Hakuwahi kuwaza kama nina sura ya namna hii hata siku moja nadhani.
“OK, that’s fine nina swali lingine linalofanana na hilo...” Nikasita kidogo na kumtazama tena akiniangalia huku midomo ameilegeza, “Niangalie na uniambie sasa hivi... na Dastan ni nani kwako?” Mshtuko alioupata ulizidi wa awali. Nikahisi kabisa akitetemeka mwili. “He is.. he is just a friend also Kimo... what’s wrong baby?” Nikanyanyuka na kuiendelea laptop yangu halafu nikaiwasha nayo ikawaka haraka sana maana sikuizima bali niliiweka kwenye Hibernate Mode kupunguza muda wa kuwaka na kuload files. Nikarudi kuka palepale na kufungua picha kadhaa nikianza na ya James na kumuonesha. “Huyu ndo James?” nilimuuliza naye akatingisha kichwa kukubali, nikamuonesha tena picha ya Dastan nayo pia akakubali ndiye Dastan.
Nikamwambia asogee nilipo. Naye kwa kutetemeka akasogea. Nikafungua chatting za Whatsapp na kumuonesha wakichombezana na James na kusifiana jinsi walivyopeana tam tam na namna dogo anavyojibebisha. Rose akaanza kulia baada ya kushindwa kusoma hata msg tatu tu. Nikafungua na chatting zake na Dastan nazo nikamlazimisha aangalie. Akasoma moja tu na kuzama kwenye kilio. Sikumpa nafasi nikafungua audio zenye sauti zao wakichombezana kwanza akiwa na James na nyingine akiwa na Dastan. Sauti zao zilisikika vizuri sana na bila shaka yoyote akajua najua kila kitu.
Rose akaziba masikio asisikie sauti zile ambazo niliendelea kuziplay tu mbele yake. Akazama kwenye kilio cha kwikwi na akijifuta machozi mfululizo. Nikafunika laptop na kusimama katikati ya chumba na kumwambia, “Rose, umekosea sana kunidanganya nilipokuuliza hawa watu ni nani zako. Umekosea pia kunifanya bwege kwa kudate na watu wengine ukijua nina nia ya dhati kukupandisha daraja kuwa mke kamili kwangu...” Nikasimama kidogo ili maneno yangu yamuingie vizuri.
“Sasa sikia Rose, nyanyuka, vaa nguo zako uende...am done with you and don’t turn your face looking at me while you pass that gate outside...” nikapozi kidogo kisha nikaendelea, “Kati ya hawa wawili naamini James atakufaa sana maana Dastan tayari ana mahusiano yake yenye nguvu, you are just a side chick tu. Thank you!!!” Nikamaliza kuongea maneno hayo machache nikasogea kwenye sofa na kukaa nikimtazama. Rose akapasuka kwa kilio kikubwa sana na nadhani kilisikika mpaka nje. Nikanyanyuka na kuvaa bukta na Tshirt nikamwambia aamke avae aondoke muda huo. Rose akaendelea kulia kwa kwikwi uso ameuinamisha kati ya magoti yake ameufumbata kwa viganja vyake. Alilia kama amefiwa na sikujisumbua kumnyamazisha hata kidogo zaidi nilimsisitiza aamke avae. Nikamfokea kwa sauti avae akanyanyuka na kushuka kitandani akapiga magoti mbele yangu akiniomba msamaha. Nikamfokea asinipigie magoti na anyanyuke avae aende sina muda wa kujadiliana nae. Akaanza kuvaa kinyonge na taratibu sana. Alipomaliza uso ukiwa bado umemsawajika kwakilio na bado akilia nikachukua simu yake na kufungua application ya UBER kuita gari.
Gari ikafika nikamshika mkono kumkokota sebuleni maana hakutaka kutoka. Kalunga alishaamka na alikuwa sebuleni akishangaa kulikoni. Sikumsemesha chochote zaidi nikawa namkokota Rose kumtoa nje huku Kalunga akiniangalia tu kwa mshangao wa nini kimetokea kati yetu. Nikamtumbukiza Rose ndani ya UBER na kumlipa kabisa dereva nikizidisha elfu tano zaidi katika kiwangi=o kilichoonesha kwenya Application baada ya kuangalia route ya UBER mpaka Mbezi Beach kwa kina Rose.
Nikamwambia dereva ahakikishe amemshusha kwao uzuri dereva huyu wa UBER ni wa maeneo haya na si mara ya kwanza kumchukua Rose hivyo anapajua mpaka kwao lakini leo anashangaa mtoto wa kike analia tuu muda wote. Hakutaka kuingilia mabo ya watu akachoma mafuta kupotea mbele ya uso wangu. Nikarudi sebuleni na kumkuta Kalunga akiwa palepale amesimama kama kapigiliwa misumali miguuni. Naamini hakusogeza hata uwayo kwa inch moja. Nilipoingia tu akanidaka kwa swali, “Vipi broh, nini tatizo na shem?” Nikamtazama kwa sekunde kadhaa halafu nikamjibu, “Kazingua Rose... msaliti kwangu kaka tena wanaume wawili kwa mkupuo anatupanga... siwezi kuwa na mwanamke wa hivi Kalunga. Its over between me and Rose, so forget her bro... “ Kalunga akaguna na kujibwaga kwenye sofa hana hamu kabisa na kama haamini vile.
Akaniuliza kama nina uhakika nikamwambia nina chatting zake zote, audio zenye calls zote, messenger na message za kawaida zote za miezi minne iliyopita kwa hiyo nina uhakika 100%. Kalunga akachoka zaidi na kuguna tu na kushusha pumzi kwa kusema, “Hawa wanawake bhana pasua kichwa sana aisee, mi sikutegemea kwa namna Rose alivyo na mahaba kwako na anavyokujali bro” Nikamtazama Kalunga na kuyahisi maumivua ambayo pia anayo moyoni mwake. Najua anaumia maana alishamuweka kama mke wetu mtarajiwa katika akili zake, sasa hili la usaliti likamuacha hoi zaidi.
Tulikaa sebuleni tukiangalia TV kila mmoja akiwa hamsemeshi mwenzake mpaka saa nane na nusu usiku tukiwa hatuna usingizi hata lepe. Baadae nikamwambia “Dogo, kalale kaka nami naingia kulala, sahau kuhusu hizi mambo na maisha lazima yaendelee..” Akaniitikia lakini hanyanyuki kwenda kulala. Nikanyanyuka nakuanza kuelekea chumbani naye nikamuona anazima TV na kunyayuka pia. Nikajua alikuwa ananiangalia labda huenda nimechanganyikiwa hivyo amekuwa kama mlinzi wake akiniangalia kaka yake namna nilivyo.
Asubuhi nikaamka nikiwa poa kabisa kama jana hakijafanyika kitu. Nikatoka sebuleni na kulakiwa na Kalunga akiwa kashaamka muda tu. Akanijulia hali na kuuliza kama niko poa kabisa. Nikamwambia asiwe na shaka nilishajiandaa kwa hili kwa muda mrefu kidogo ndo maana nilichukua likizo ya dharula kuweka akili sawa. Kwa hiyo nilishaamua asiwe na wasi wasi. Akaridhika baada ya kuona kweli niko poa, akaandaa kifungua kinywa tukanywa huku tukiongea mawili matatu.
Nikachomoka na Mazda kuelekea kazini leo nikiwa kama mtu mpya niliyetua mzigo mzito sana. Nikakumbuka kuwa sijawasha simu yangu tangu jana nilipoizima kabla ya mtifuano na Rose. Nikaiwasha na msg zikaanza kumiminika mfululizo nikasema nitazisoma nikifika kazini. Njiani nikapata moja namba ngeni ikinipigia nikapokea nakuisikiliza, “Hello!!! Naongea na Kimox?” Nikajibu ndiyo na kumuuliza ni nani mwenzangu, “Mimi mama yake Rose baba, vipi kuna tatizo lolote limetokea maana Rose karudi jana usiku analia tuuu mpaka sasa bado analia akilitaja jina lako muda wote...” Nikamjibu, “Hapana hakuna tatizo kubwa mama, nadhani mngemuuliza yeye zaidi nini kimemsibu ila kwa upande wangu mama sina cha kusema” mama yake Rose akanyamaza kwa muda kisha akasema, “Sawa mwanangu hakuna shida ngoja tumuulize labda atasema kitu” Tukaagana na mama yake Rose na kukata simu.
Nikafika parking ya kazini na kuzipitia msg zote nyingi zikiwa za Paula na Nino na missed calls za Rose zilizokuja kama msg notifications. Nikaingia ofisini na kwenda kwenye kiti cha Nino alipo nikampa mkono kisha nikaubusu baada naye kunipa mkono wake. Wafanyakazi wenzake wakaona kitendo kile na kwa pamoja wakapiga makofi kana kwamba ni siku ya birthday leo. Makofi hayo yakamfanya Nino awe na aibu sana. Nikamuachia na kuelekea ofisini kwangu bado wakipiga na kucheka nyuma yangu na kumpa Nino hongera.
Itaendelea