meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Mbona nipo mkuu!Ukweli ni muhimu kusemwaDuh hii ID ilipotea sana naona imerejeshwa katika kandarasi ya Legacy
Hawa washenzi, wanaojifanya wana hati miliki ya Tanzania, inabidi watambue kuwa hiki ni kizazi kingine! ... aliyoongea Diallo ndio haswaaa yaliyokuwa yanaongelewa na umma wote, huku tukiangalia sana tusijemwaga mtama kwa wasiojulikana mabwege(baadhi yao wanajitambua)!Hakuchafuka mmoja tu.
Nchi nzima tulichafuka.
Waliopotea ni wengi sana.
Waliokimbia kufanya biashara ni wengi mno.
Diallo akiwajibishwa kwa ukweli mtapata majibu mabaya zaidi.
Kama miaka 6 tulivumiliana itoshe kuivumilia kauli ya Diallo.
Kazi ziendelee.
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.
AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE

Media zake pia zilitumika sana 2015 kumshambulia mgombea wa upinzani wakati huo.Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.
AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
peleka utumbo wako kuzimu! kama unataka kumfuata tafuna vipande vya chupa nenda! msitusumbue! kwendraaaaaaaaaaaaaaaaa 😡Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.
AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
Takataka tupu.Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.
AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
CHAMA Cha Mazezeta kiliongozwa na mkuu waoAlichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.
AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE