Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wewe ni Muislamu??
 
Kabisa! Umeongea vzr sana. Ujinga, umasikini, upumbavu na wivu wa waafrika wengi katika maendeleo ya wenzetu ndiyo matokeo yakee. Mtu anadiriki kusema eti ni uongo. Yaani watumie mabilioni ya fedha kwa ajili ya kukudanganya ww una nini na ili iweje
 
Aisee huko mars hapakaliki hata Kwa dawa.
Cha kwanza wameenda ,hayo mengine ubongo utazidi kuchapa kazi,hata robots wanaweza kuwekwa huko au anything different

Majuzi niliona bbc wanataka waanze kuunganisha genes za binadamu na wanyama wengine Ili kitokee kiumbe mpya
 
binadamu tumewekwa duniani Kwa mpango wa MUNGU.sio planted
Jinsi sisi wanadamu tulivyokuwa planted hapa duniani si vibaya na sisi tukaenda kuplanti jamii yetu huko isipokuwa lazima tutafute kiumbe ambacho tutashea nacho dna chenye mfanano na binadamu kwa walau 75% ili kuweza kuhimili hali ya huko
 
well done lakini sience ya Mungu kuichunguza ni nomaa wazungu watahaha sana.
 
Nitajie sayari nyingine.ambayo wanaishi watu

Ungeishi kwa mpango wa Mungu tu wala usingevaa suti leo, wala usingejua kusoma wala kuandika... hivi vyote ni binadamu kafanya sio Mungu.

Wala usingepika chakula, acha usafiri na vumbuzi nyingi nyingine... hata hiyo sayari unayoijua leo usingeijua kwa maana Mungu hajakufundisha hilo.

Kama ulivyokiriri kuwa u-mjinga basi pia kiri kuna vitu vingi hujui, kubali pia kuna wanaojua zaidi yako... maisha yatakuwa na maana kwako.
 
Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.

Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao.
Watakuwa wamesoma sana maandiko ya dini wanataka waje wamkwepe Mungu atakapokuja kuangamiza Dunia
 
Hyo akili ya kufanya hayo yote huyo binadamu kapewa na Nani?.
Yaani mungu aliyetengeneza akili na ubongo unamuona hafai.ila Yule aliyetengeza suruali na Shati akitumia akili aliyopewa na mungu ndo unamuona ana maana[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hyo akili ya kufanya hayo yote huyo binadamu kapewa na Nani?.
Yaani mungu aliyetengeneza akili na ubongo unamuona hafai.ila Yule aliyetengeza suruali na Shati akitumia akili aliyopewa na mungu ndo unamuona ana maana[emoji848][emoji848][emoji848]

Well, kama unakiri kuwa binadamu kapewa akili ya kufanya mambo... iweje hukubaliani na hayo mambo yanayofanyika!!
 
Wakati wenzetu wakituma vyombo anga za juu,sisi huku bado tunalima kwa jembe la mkono,kupika kwa kutumia kuni.Huku shule zikiwa na changamoto ya ukosefu wa madawati na upungufu wa matundu ya vyoo.
 
Watapeleka na oxygen?.
Hicho ndo kitu ambacho najiuliza.
kwenda wanaweza wakaenda swali wataishi vipi bila oxygen?

Oxygen inazalishwa na mimea tu mzee baba, acha uoga ikioteshwa miti tu kule Mars kwisha habari.

Kuhusu kwenda, sio lazima mimi na wewe kuhamia... wanapelekwa sampuli wachache tu wakazaliane na kuijaza Mirihi![emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…