Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ziko nyingi, hizi baadhi.
1. Alikuwa muongo
Tafuta makala hii usome kwa faida na uone na ujue ya kuwa mimi huwa nachukua wapi maarifa yangu.
How Einstein Kept the Stationary Earth
Moving and Took Physics Away From
Empiricism to the Fantasies of
Imagination
2. Hana marejeo zaidi ya dhana tu.
3. Ulipo andika suala la "logic reasoning" nikajua hapa najadilianana mtoto kimaarifa. Usiongelee logic kwangu sababu naijua na naujua udhaifu wake, hapa hutanipa cha ziada ya nitakuwa nakukosa tu.
4. Niwekee mambo manne tu ambayo aliyasena Einstein ambayo ni ya kweli, hapa ndipo utakapo jua ya kuwa kati yangu na Einstein nani mwenye akili.
Nipo....
Kabisa! Umeongea vzr sana. Ujinga, umasikini, upumbavu na wivu wa waafrika wengi katika maendeleo ya wenzetu ndiyo matokeo yakee. Mtu anadiriki kusema eti ni uongo. Yaani watumie mabilioni ya fedha kwa ajili ya kukudanganya ww una nini na ili iwejeUmaskini na uduni umefanya waafrika tuwe na wivuuuuuuu hasa tunapoona mafanikio ya wengine,tunapinga badala ya kujifunza,uvivu nao umefanya tuwe na visingizioooooo hasa tunapofeli badala ya kuinuka na kuoambana tunaishia kuwalaumu waliofanikiwa,utaskia oooooh wazungu Mara wanataka kuja sijui kutuibia,Mara sijui ooooooh,Mara eeeeeeh,
Tuache uvivu na wivu
Cha kwanza wameenda ,hayo mengine ubongo utazidi kuchapa kazi,hata robots wanaweza kuwekwa huko au anything different
Majuzi niliona bbc wanataka waanze kuunganisha genes za binadamu na wanyama wengine Ili kitokee kiumbe mpya
Jinsi sisi wanadamu tulivyokuwa planted hapa duniani si vibaya na sisi tukaenda kuplanti jamii yetu huko isipokuwa lazima tutafute kiumbe ambacho tutashea nacho dna chenye mfanano na binadamu kwa walau 75% ili kuweza kuhimili hali ya huko
Mars kuwe na joto kuliko Duniani ulisoma Geography form one kweli
Mars kuwe na joto kuliko Duniani ulisoma Geography form one kweli
Hicho kitu wamekueleza nani sihaohao wenye mpango wa kwenda huko Low Thinking.Wakati wa kwenda mars
Hicho kitu wamekueleza nani sihaohao wenye mpango wa kwenda huko Low Thinking.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati wenzetu wako serious na ugunduzi wa maana. Sisi tuko bize na kugundua misuli na mishipa gani ya tako inaweza kunasa na biti
Nitajie sayari nyingine.ambayo wanaishi watu
Watakuwa wamesoma sana maandiko ya dini wanataka waje wamkwepe Mungu atakapokuja kuangamiza DuniaWazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.
Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao.
fungua ubongo acha kujibanabana
hutaki hata kusumbua ubongo kidogo yani hapo ndio umemaliza
Ungeishi kwa mpango wa Mungu tu wala usingevaa suti leo, wala usingejua kusoma wala kuandika... hivi vyote ni binadamu kafanya sio Mungu.
Wala usingepika chakula, acha usafiri na vumbuzi nyingi nyingine... hata hiyo sayari unayoijua leo usingeijua kwa maana Mungu hajakufundisha hilo.
Kama ulivyokiriri kuwa u-mjinga basi pia kiri kuna vitu vingi hujui, kubali pia kuna wanaojua zaidi yako... maisha yatakuwa na maana kwako.
Hyo akili ya kufanya hayo yote huyo binadamu kapewa na Nani?.
Yaani mungu aliyetengeneza akili na ubongo unamuona hafai.ila Yule aliyetengeza suruali na Shati akitumia akili aliyopewa na mungu ndo unamuona ana maana[emoji848][emoji848][emoji848]
Sayansi ya Mungu ni yepiwell done lakini sience ya Mungu kuichunguza ni nomaa wazungu watahaha sana.
Watapeleka na oxygen?.
Hicho ndo kitu ambacho najiuliza.
kwenda wanaweza wakaenda swali wataishi vipi bila oxygen?
Unachoweza wewe ni kujamba na kukata mauno tu.Huu ni uongo. wametoa video wanashangilia eti ndio tuamini. Wana msemo if you cannot make it fake it