Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Kwanini Pluto ilikuwa katika Sayari na sasa haipo ?

Uongo hakuna Solar System. Sababu jua linatembea, na kinachomoza Mashariki na linazama Magharibi.

Sayansi ya anga ni bahati nasibu.
Kutokuelewa kwako kwanini pluto haijawa counted as planet ndio sababu solar system ni uwongo?
 
Mimi njia nazifahamu na nimekuuliza wewe kama taarifa hiyo unayo. Isije ikawa ubanitumia mimi kama chambo kujifunza mambo ambayo darasani hukujifunza

Nakuuliza ili nijue kama unajua ili niweze kupima hiyo evidence yako ya kubatilisha tafiti hiyo

Kubatilisha bila evidence katika jambo lenye evidence ni wastage of time
 
Sasa mimi ambae nimeishia Madrasa nawakosoa mpaka wakubwa zako na maswali yangu hamuyajibu, nani bora ?

Sisi mbona tunawafundisha elimu ambazo hata wazazi wenu wasingeweza kuwalipia ada yake ila tunawapa bure tu.
Kama marekani ana mabomu kwanini hailipui malawi?

That how your question sounds
 
Ungekuwa mzee mwenye akili na busara zake usingeuliza hayo maswali.
Mjukuu akikuuliza mama yake alijuaje jina lake unamjibu aliambiwa na kunguru, halafu unamuuliza unamfahamu kunguru? Ndicho nilichokifanya kwako.
Poa.
 
Safi sana, naona umehitimisha ya kuwa huwezi kujibu maswali yangu.

Sasa mbona huzitumii hizo njia na unazijua ?
 
Kutokuelewa kwako kwanini pluto haijawa counted as planet ndio sababu solar system ni uwongo?
Hujaelewq hoja, nakuonyesha kuyumba kwa Sayansi na wanasayansi.

Sasa mimi hoja zangu hazipitwi na wakati yaani ni zile zile, jana leo mpaka mwisho wa dunia.
 
468 uliiquote nusu kaipitie tena kuna mengi nineyajibu mle ambayo umeyarudia tena kuyauliza
Kama ni hiyo haijajibu swalilangu hata moja. Maswali yangu yako wazi sana.
 

Labda nikusaidie kwa mtindo huu, labda utaelewa kisha uniambie utafiti ulio fanyika na unipe majibu.

Nanukuu :

Lincoln Barnett (1909-1979CE) wrote in his book: “The Universe and Dr.
Einstein” (with a forward by Einstein himself), “... for we cannot feel our
motion through space; nor has any physical experiment ever proved that the
earth actually is in motion.”

Stephen Hawking wrote: “Although it is not
uncommon for people to say that Copernicus proved Ptolemy wrong, that is
not true... one can use either picture as a model of the universe, for our
observations of the heavens can be explained by assuming either the earth
or the sun to be at rest.”

Tuanzie hapo, Solar System inasemaje kuhusu Dunia na jaribio gani ka kisayansi likifanyika kuthibitisha hilo ? Nataka nikuonyeshe hili ni jambo dogo na usilifanye kuwa ni mada. Malizana na Barnet na Stephen Hawking.
 
Sasa kwanini umeshindwa kutumia njia hizo kukosoa hoja zangu na kutumia njia hizo hizo kuonyesha ukweli wa Solar System...?
rejea kwenye post yangu niliyokuwekea mfano wa hoja ambazo zinatakiwa kujibiwa angalia qualification zake kisha linganisha na huo utumbo wako kisha utagundua sababu
 
form one uli skip masomo ya science?

nenda mtaani kamuulize dogo yeyote ambaye yuko form one what is scientific method atakujibu
 
rejea kwenye post yangu niliyokuwekea mfano wa hoja ambazo zinatakiwa kujibiwa angalia qualification zake kisha linganisha na huo utumbo wako kisha utagundua sababu
Hakuna vigezo ulivyoweka.

Nacho subiri hapa ni kuona una jibu maswali yangu.
 
form one uli skip masomo ya science?

nenda mtaani kamuulize dogo yeyote ambaye yuko form one what is scientific method atakujibu
Kazi yangu nimemaliza.

Ona ulivyopoteza muda, mwisho wa siku unaruka ruka.

Nipo...
 
Huyo mwandishi wa kitabu hajaonesha vivid proof ya madai kaishia kuweka claims bila testable evidence.

Anasema hakuna jaribio lilofanyika kuthibitisha dunia inazunguka, Haya madai nayaita ya uwongo kwasababu ukisoma Foucault pendulum inakueleza hadi namna ya kupima

The most direct observational evidence for Earth's orbital motion is the apparent shift of nearby stars after six months, as the Earth moves from one side of its orbit to the other. Because of the large distance to even the nearest start, this parallax shift is too small to been seen without a telescope.

Huko juu nilikuuliza kuhusu telescope nilikua na maana yangu, nilijua vitu kama hivi utakuja kuviuliza

Najua uliko okoteza hivi vi conspiracy ni kwenye site za kiislam ambazo zinataka kuipinga sayansi kwa kutaka kuinyanyua kuran ni wajinga pekee ndio watakubali huu uzushi
 
Usini quote nusu unapoteza maana ya swali langu.

Swali langu halijaanzia hapo naomba uijibu post yangu bila kuifupisha ilo kuleta maana.
 
Hakuna vigezo ulivyoweka.

Nacho subiri hapa ni kuona una jibu maswali yangu.
Kama hakuna vigezo nakuwekea tena hapa
Fanya observation, Form hypothesis or testable explanation, Make a prediction based on the hypothesis, Test the prediction, Iterate: use the results to make new hypotheses or predictions.

Swali lako lolote litalokuwa nje ya hivyo vigezo litaenda kwenye list ya maswali ambayo yanapuuzwa kutokana na ukosefu wa scientific factual hivyo yanapuuzwa tu
 
Kwani dubai ya leo yote iliumbwa na Mungu? Mungu unaemsema katuumba kwa mfano wake. Nn maan ya mfano wa ki2? Sifa kuu ya Mungu ni uumbaji. Je mfano hauwezi fanya jpo kidogo ya hayo. Mungu hajaumba ndege. Mungu hajaumba gari. Mungu hajaumba mbwa wa kisasa kuku wa kisasa miti ya kisasa soda internet. Ila kaamuumba mwanadamu kwa mfano wake aweze kuumba kwa nafasi yake. Nd wanchokifanya hao jmaa hapo wanafuata maagizo. Kuexplore sio dhambi maan hata akina mtume paulo walikuwa mamster wa kuexplore.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Yaani hii balaa chombo hiki kimekimbia muda wa miezi sita
...speed yake km 85 kwa sekunde moja kam sio uongo nini wazungu ni waongo sana wanataka kututoa kwenye reli kuhusu corona tu
Sas wewe unaishangaa hiyo speed hujui taa unayotumia ndani ya umeme inatoa electrons zenye speed ya 3*10^8m/s nd ushangae hyo. Na hapo bado wenzio lengo lao ni kufika speed ya light.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…