Kama ni nadharia inayosema jua lipo katikati ya sayari na zinalizunguka jua hapo uwongo uko wapi?
Unaelewa ilitumika mechanism gani ku discover hiyo solar system? Nawe saizi unetumia scientific method gani kubaini uwongo?
Ni uwongo hakuna sayari zingine?
Jibu la swali lako lipo kwenye post ambayo umei quote nusu.
Labda nikusaidie kwa mtindo huu, labda utaelewa kisha uniambie utafiti ulio fanyika na unipe majibu.
Nanukuu :
Lincoln Barnett (1909-1979CE) wrote in his book: “The Universe and Dr.
Einstein” (with a forward by Einstein himself), “... for we cannot feel our
motion through space; nor has any physical experiment ever proved that the
earth actually is in motion.”
Stephen Hawking wrote: “Although it is not
uncommon for people to say that Copernicus proved Ptolemy wrong, that is
not true... one can use either picture as a model of the universe, for our
observations of the heavens can be explained by assuming either the earth
or the sun to be at rest.”
Tuanzie hapo, Solar System inasemaje kuhusu Dunia na jaribio gani ka kisayansi likifanyika kuthibitisha hilo ? Nataka nikuonyeshe hili ni jambo dogo na usilifanye kuwa ni mada. Malizana na Barnet na Stephen Hawking.