Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Sas wewe si uende forum za NASA kwani hazipo may be watakusaidia wabongo unatuonea 2. Sisi tunaangalia kinachosemwa tunachanganya na tulichojifunza na uwezakano uliopo basi. Ila ukitaka uthibitisho wa kinasa kabisa hadi uende mars nadhani umekosea jukwaa.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ko we unahisi selfie iligunduliwa kwenye camera za simu peke ake? Afu sensor sio stand ya camera uelewe hicho ki2. Lengo la sensor ni switching sana sana. Ni kifaa kidg 2. Sas kuna sensor za altitude ko ni rahisi kuset altitude ya mars kwasbabu inajulikana. By the time chombo kinafika hyo altitude sensor ina switch camera. Tena na hapo nimeelezea mimi kibongo bongo 2. Wao nadhani wanajua mechanism nyngi zaidi. Ko sensor braza sio carrier ya camera carrier nd kama drone uliotaja.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
hiyo speed si mchezo bora kuisoma tuu ila ukiivutia picha uhalisia wake aisee hiyo ndio kufumba na kufumbua. Mara paap umefika.
Sas mars miezi 6 unataka speed gani hhhh sio kwamba duniani hizo vitu haviwezi kuwepo watu wasafiri kama kimbunga ila umuhimu haupo bora hyo energy itumike huko

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hiki kiatu hakikuenei wewe pambana na wanafunzi kukaa chini na ukosefu wa maji Safi na ya uhakika....🤣🤣🤣🤣
 
kwani adam alikuta marocket na highest roof?

adam alifanya sayansi gani ya kiteknolojia zaidi ya kudanga pale eden na mkewe?
Acha kukufuru bro tujikite na sayansi 2 sio lazima kumkwaza sir God. In fact adam nd mtu wa kwnza kushuhudia sayansi ya muda wote pamoja na kuhusika rejea kuumbwa kwa eva. Adam alitajia majina wanyama je hyo sio sayansi. Adam aliweza kuzungumza na wanyama hyo sio sayansi. Wakati eva anaza mtoto wa kwanza adam nd aliemzalisha je manurse sio wanasayansi? Vipi swala la kuongea na mtu ukiwa humuoni karibu sio sayansi? Kutengeneza nguo kwa mara ya kwanza sio sayansi? Kusafiri kutoka eden ambayo haikuwa duniani ardhini exactly sio exploring science hiyo? Vipi eva baada kuasi alivokuwa akiumwa alitibiwa na nani? Moto alianzisha nani? Direction ya jua kuzama na kuchomoza na mwezi na nyota wakwanza nani? Halafu sayansi ya unajibu ilikuwepo japo zilitofautiana form kutokan na wakati rejea mamajusi walivoenda kumuona yesu kwa kuongozwa na nyota. Unataka kuamini adam hajawahi kwenda kutalii sehemu nyingne za ulimwengu maan bible inasema alipewa atawale ulimwengu. Then ulimwengu ni nini?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ile ni bible ina tumika kutokana na mazingira. Mungu huwa anafindisha sometimez kutokana na tukio. Sasa kama walichapa maji ya bahari yakapoteana wangeshindwa kuvuka chap 2. 2rudi kweny topic huyu jmaa haelewi nini maan ya uchunguzi nd maan anachanganya mafile. Watu wamesema mars atleast kuna mazingira yanafanana na dunia wanafanya uchunguzi. Yeye kakazana sijui vitu gani sas kungekuwa sawa na dunia uchunguzi ungekuwa wa nn zaid ya kujikatia vitalo 2

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huku hupawezi Ni kina Kirefu Sana utakunywa maji upasuke Bure... Hebu ngoja kidogo.... Umesema Area 51... Hivi ulishafika huko??? Hebu tuelezee uwongo uliouona Huko ili sisi ambao hata maji Ni Shida tusadiki ukweli tuache kupotoshwa na hao Jamaa ambao Kila kitu tunachotumia yakiwemo masinki ya chooni, wametutengenezea wao
 
Sas we ungepataje internet ya kubishania hapa jf bila wazo lililotoka kwenye solar system au we mwenzetu unajua njia nyngne iliopeleka satellite angani ilitokea wapi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Bro labda tukuchane 2 hakuna mbingu inayoonekana kwa macho. Na hakuna mbingu katika mfumo wa ulimwengu. Kwanza Mungu hawezi kuishi karibu na wanadamu walivyo wachafu hivi. Huu ni ulimwengu na umetengwa na mbingu wewe wingu unaliona ni reflection z mwanga 2 na upeo wa macho ila mbele yake kuna mambo mengine zaidi. Utaniuliza nimejuaje, nadhani kaulize forum za NASA mi nakufahamisha 2. Internet imeletwa na nn na husafiri vipi? Tuanzie hapo kwanza.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ko we unaona ni jambo la aibu binadamu mwenye ufahamu akikosolewa? Sayansi ni watu na inadevelop hakuna sehem sayansi imesema ni strict haibadiliki wewe. We dini imekujaa mpaka unaikosea hata yenyewe hakuna mtu anashindana na Mungu kuhusu maarifa ila watu wanajaribu kutumia sehemu yao ya ubongo na wanaruhusu kama unafact proven then welcome. Sas wewe unasema eti wanaumbuka wakati unakula miogo umeshika simu yao ambayo ilipitia majaribio mengi mpaka wakafanikisha. We unavopokea 2 kila kitu na mwenzio anaejitahidi kutafuta maarifa mapya nani nd anaumbuka hapo? Shame on you kutaka binadamu wenzio washindwe kutafuta maarifa eti kisa utaumbuka. Mtu kama huyu unakuta ana ilaumu serikali kuhusu maish. Haya jamani hapa serikali itapata nini tukija upande wa pili hhhhh. Nchi hii haiendelei ni wananchi dini zilizozidi uwezo wa ufikiri dini za kitumwa na kutawaliwa. Na log off. I'm truly hurt rigt now.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sasa mimi ambae nimeishia Madrasa nawakosoa mpaka wakubwa zako na maswali yangu hamuyajibu, nani bora ?

Sisi mbona tunawafundisha elimu ambazo hata wazazi wenu wasingeweza kuwalipia ada yake ila tunawapa bure tu.
Nani ajibu kilaza kama huyu diniani hapa hhhhh. Yani wewe umewahi kutana na elon musk ukamkosoa research zake kweli? Leta ushahidi hapa mahojiano yako we na elon musk au jeff bezos au nasa au rais wa marekani.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Satellite moon exploring telescope hizo za seasons na day and night ni za shule ya msingi za kibongo ambayo n mambo ya kizamani sana sahivi mambo yako wazi

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni atheist siamini habari za mungu (though kimjadala naweza nikajadili kwa dhana ya uwepo wake) na habari zihusuzo uumbaji wake kupitia vitabu vilivyomuelezea.

Kuna mechanism gani kwenye kutaja majina mpaka ukahusisha na sayansi?

Mi naweza nikakuambia hizo ni hadithi za kufikirika tu zisizo na uthibotisho wowote wa kisayansi na ndio maana hakuna ushahidi wakisayansi unaoonesha kwamba nyoka aliongea na adam au eve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…