Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Hizi habari unazithibitisha vipi kama za kweli ? Hili swali mbona rahisi sana mnalikimbia ?

Ni sawa nikuulize,je unahakikisja vipi historia yoyote unayo iamini wewe kuwa ni ya kweli ? Ukishindwa swali hili na hilo la hapo juu, tunahitimisha ya kuwa nyinyi huwa mnaamini vitu kichwa mchunga yaani kububusa tu. Sasa msilazimishe na sisi tuwe mazwazwa kama nyinyi, hizi akili tumepewa bure lazima tuzitumie katika usawa siyo kupenda stori na utoto mwingi.

Nawakumbusha tu ya kuwa muwe mnajibi maswali ninayo wauliza.
Sas wewe si uende forum za NASA kwani hazipo may be watakusaidia wabongo unatuonea 2. Sisi tunaangalia kinachosemwa tunachanganya na tulichojifunza na uwezakano uliopo basi. Ila ukitaka uthibitisho wa kinasa kabisa hadi uende mars nadhani umekosea jukwaa.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa majibu mazuri ambayo hayajajibu mshangao wangu... ninachotaka kujua camera iendeshwe na sensor au iwe kwenye stand, drone au robot....

Wakati chombo kinatua picha zilipatikana, ndio nauliza hiyo camera iliyokipiga chombo wakati kinatua ilitangulia kusubiri kupiga picha au ni moja ya vifaa vilivyoenda na chombo ila wakati kimekaribia ardhi camera ikatangulizwa ili tuone picha.... ???
Ko we unahisi selfie iligunduliwa kwenye camera za simu peke ake? Afu sensor sio stand ya camera uelewe hicho ki2. Lengo la sensor ni switching sana sana. Ni kifaa kidg 2. Sas kuna sensor za altitude ko ni rahisi kuset altitude ya mars kwasbabu inajulikana. By the time chombo kinafika hyo altitude sensor ina switch camera. Tena na hapo nimeelezea mimi kibongo bongo 2. Wao nadhani wanajua mechanism nyngi zaidi. Ko sensor braza sio carrier ya camera carrier nd kama drone uliotaja.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
hiyo speed si mchezo bora kuisoma tuu ila ukiivutia picha uhalisia wake aisee hiyo ndio kufumba na kufumbua. Mara paap umefika.
Sas mars miezi 6 unataka speed gani hhhh sio kwamba duniani hizo vitu haviwezi kuwepo watu wasafiri kama kimbunga ila umuhimu haupo bora hyo energy itumike huko

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wewe hapo umeona nini ? Mpaka unaniuliza kama nimeona?

Kwani hapo bibie kitu kimekufanya mpaka ukasidikisha hiyo habari? Je, hukuona haja ya kuhoji au hupaswi kuhoji?

Mimi mpaka hapo nina maswali zaidi ya matatu ya kuhoji juu ya habari hiyo. Huku ushahidi wa picha nikiudhohofisha sababu hata mimi naweza kubuni picha kama hiyo.

Tukirudi katika swali lako, hapo nimeona picha tu sijaona kipya. Ili niweze kuwaamini tu ni kuwa watuambie kwanini walituambia kuna mtu alienda mwezini na kwanini hawaendi tena?
Mkuu hiki kiatu hakikuenei wewe pambana na wanafunzi kukaa chini na ukosefu wa maji Safi na ya uhakika....🤣🤣🤣🤣
 
kwani adam alikuta marocket na highest roof?

adam alifanya sayansi gani ya kiteknolojia zaidi ya kudanga pale eden na mkewe?
Acha kukufuru bro tujikite na sayansi 2 sio lazima kumkwaza sir God. In fact adam nd mtu wa kwnza kushuhudia sayansi ya muda wote pamoja na kuhusika rejea kuumbwa kwa eva. Adam alitajia majina wanyama je hyo sio sayansi. Adam aliweza kuzungumza na wanyama hyo sio sayansi. Wakati eva anaza mtoto wa kwanza adam nd aliemzalisha je manurse sio wanasayansi? Vipi swala la kuongea na mtu ukiwa humuoni karibu sio sayansi? Kutengeneza nguo kwa mara ya kwanza sio sayansi? Kusafiri kutoka eden ambayo haikuwa duniani ardhini exactly sio exploring science hiyo? Vipi eva baada kuasi alivokuwa akiumwa alitibiwa na nani? Moto alianzisha nani? Direction ya jua kuzama na kuchomoza na mwezi na nyota wakwanza nani? Halafu sayansi ya unajibu ilikuwepo japo zilitofautiana form kutokan na wakati rejea mamajusi walivoenda kumuona yesu kwa kuongozwa na nyota. Unataka kuamini adam hajawahi kwenda kutalii sehemu nyingne za ulimwengu maan bible inasema alipewa atawale ulimwengu. Then ulimwengu ni nini?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
katika hivyo vitu alivyovikuta adam ilikua ni pamoja na ma flyovers, rockets, nuclear?

watu tunaongelea ulimwengu wenye watu wabunifu ambao wanasafiri million miles kwa vyombo vya kisasa kufanya investigation katika sayari za mbali we unaleta upuuzi wa watu wa zamani waliokuwa wazembe kuzimaliza KM 600 kutoka misri kwenda israel iliwachukua miaka 400
Ile ni bible ina tumika kutokana na mazingira. Mungu huwa anafindisha sometimez kutokana na tukio. Sasa kama walichapa maji ya bahari yakapoteana wangeshindwa kuvuka chap 2. 2rudi kweny topic huyu jmaa haelewi nini maan ya uchunguzi nd maan anachanganya mafile. Watu wamesema mars atleast kuna mazingira yanafanana na dunia wanafanya uchunguzi. Yeye kakazana sijui vitu gani sas kungekuwa sawa na dunia uchunguzi ungekuwa wa nn zaid ya kujikatia vitalo 2

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Naanzia hapa,suala la budget waesema lini au umejiaje kama budget ni kubwa? Umbali wa kwenda Mars na Mwezini unatofautiana vipi na changamoto ni zipi ? Bajeti hiyo ni kiasi gani wanayo

Kuna swali nilikuuliza wewe unahihikisha vipi ya kuwa kweli wameenda Mwezini au Mars? Marejeo yako wewe ni yapi? Hili swali hujalijibu. Kwamba je kwa kuona picha au kusikia habari?

Hapa naona unawachoresha Wanasayansi na kuwafanya tuwaone wamebweteka. Kisayansi walitakiwa mpaka sasa hivi wawe wameshaenda zaidi ya mara kumi sababu ni zaidi ya miongo mitatu tangu tuambiwe Nail alikwenda mwezini. Maana yake walitakiwa wawe wameshabuni vifaa vyenyw ufanisi mkubwa na kwa gharama nafuu.

Labda watuambie ya kuwa gharama imekuwa kubwa zaidi ya kuandaa movie kama hiyo, au wameshajua ya kuwa watu wameshawaona wao mazwazwa kwa kuigiza tukio hilo pale Area 51.

Lakini suala la uzandiki juu ya tukio la mwezini mbona limeshabatilishwa tangu zamani na husemwa pia sababu ya kifo cha John F. Kenedy ni kufichua siri au kutaka kufichua mbinu hiyo. Kihistoria husemwa ya kuwa hiyo ilikuwa ni vita baina ya USSR na Marekani katika kuonyeshana umwamba maendeleo ya kisayansi.

Mimi siyo kwamba nadhani bali nina uhakika kabisa.

Watuambie kwanza umbali wa kutoka katika uso wa dunia mpaka mwezini ni kiasi gani ? Bila kuweka Assumtions yoyote ile, wakiweka tu Assumptions wameharibu.

Pili, walitumia vigezo gani kutengeneza kifaa ambacho walijua fika kitawapeleka na kuwafikisha mwezini ? Hapa inabidi watuambie. Maana yake kabla inabidi ufanya ufanue utafiti, na utembelee sehemu husika. Tafiti hii ilifanyika wapi na kwa kutumia nini ?

Sasa unapohoji haya mambo ndipo unapoona ya kuwa hili ni igizo na wengine walithibitisha hilo.

Tatu, kiimani jambo hili hali wezekani, sababu hakuna anaejua ya kuwa Mwezi uko umbali gani toka mbingu ya kwanza ila kwa macho ukiangalia vizuri unaona ya kuwa mwezi uko karibu sana na mbingu ya kwanza kuliko ardhini, yaani duniani. Tunaambiwa umbali wa mbingu ya kwanza na dunia na mbingu na mbingu ni mwendo wa miaka 500. Hii ni kwa mwendo kasi wa juu zaidi (Rejea jaya katika kitabu kiitwacho "Qamus al Bida'ah" ). Maana chini ya muda huo hizo zinabaki kuwa stori tu na kufurahisha nafsi.

Tatu, zipo sababu za kisayansi zinazo pinga igizo hilo. Unaweza kuzifatilia Google ukazipata. Ukisearch "Did we land on the moon". Utaona mambo mengi wapo wanao thibitisha ya kuwa tukio hilo ni kweli na wale wanao kadhibisha tukio hilo, ukipima katika mzani utaona ya luwa hawa wapili wana hoja zenye nguvu mno kuliko wengin, na hao wa kwanza wameanza kuja kuandika hayo hivi karibuni.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia.
Mkuu huku hupawezi Ni kina Kirefu Sana utakunywa maji upasuke Bure... Hebu ngoja kidogo.... Umesema Area 51... Hivi ulishafika huko??? Hebu tuelezee uwongo uliouona Huko ili sisi ambao hata maji Ni Shida tusadiki ukweli tuache kupotoshwa na hao Jamaa ambao Kila kitu tunachotumia yakiwemo masinki ya chooni, wametutengenezea wao
 
Kijana kama umekiri ya kuwa nimeuliza kama mtu ninaye ijua Solara, vipi tena utake niulize maana ya Solar ? Hivi huwa una matatizo ya akili au inakuwaje ?

Kwahiyo usikwepe swali na usinirudishe kwenye maana ya Solar System, hapa tunajadili ukweli kuhusu hiyo Solar kama kamfano kadogo na sitaki iwe mada sababu tupo kwenye mada na hili ni jambo dogo sana.

Kuhusu, kuielewa Solar System nailewa kama alivyoielezea mtu wa kwanza, na ndiyo maana nimefikia kiwango cha kuikosoa. Nimejibi tena lako.

Sasa jibu maswali yangu.
Sas we ungepataje internet ya kubishania hapa jf bila wazo lililotoka kwenye solar system au we mwenzetu unajua njia nyngne iliopeleka satellite angani ilitokea wapi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hili nimeshakujibu zaidi ya mara moja. Siyo kila jambo hasa lesamwalo la kisayansi kulikosoa linataka Sayansi, ni kuhoji na kutumia akili vizuri na kuangalia uhalisia, sababu msingi wa Sayansi ni DHANA.

Kijana shida yako unakimbia maswali na laiti kama ungekuwa unajibu maswali yangu, huu mjadala ungejuwa ushaisha.

Hakuna tafiti yoyote niliyo ifanya, wewe nitajie ni tafiti gani zimefanyika za kisayansi kuonyesha ya kuwa ni kweli kuna Solar System ?

Na uniambie ya kuwa kwanini unaamini ya kuwa Solar System ipo na ni kweli ?
Bro labda tukuchane 2 hakuna mbingu inayoonekana kwa macho. Na hakuna mbingu katika mfumo wa ulimwengu. Kwanza Mungu hawezi kuishi karibu na wanadamu walivyo wachafu hivi. Huu ni ulimwengu na umetengwa na mbingu wewe wingu unaliona ni reflection z mwanga 2 na upeo wa macho ila mbele yake kuna mambo mengine zaidi. Utaniuliza nimejuaje, nadhani kaulize forum za NASA mi nakufahamisha 2. Internet imeletwa na nn na husafiri vipi? Tuanzie hapo kwanza.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Nacheka,usichokijuaxni kuwa tatizo kubwa sana linalo ikumba Sayansi leo hii na litawasumbua sana tatizo hili, ni namna yao ya kufikia hitimisho juu ya jambo fulani, ndiyo maana leo wanasema hivi kesho wanasema vile ? Sasa mtu kama wewe mchanga juu ya mambo ya Sayansi hujaliona hili.
Ko we unaona ni jambo la aibu binadamu mwenye ufahamu akikosolewa? Sayansi ni watu na inadevelop hakuna sehem sayansi imesema ni strict haibadiliki wewe. We dini imekujaa mpaka unaikosea hata yenyewe hakuna mtu anashindana na Mungu kuhusu maarifa ila watu wanajaribu kutumia sehemu yao ya ubongo na wanaruhusu kama unafact proven then welcome. Sas wewe unasema eti wanaumbuka wakati unakula miogo umeshika simu yao ambayo ilipitia majaribio mengi mpaka wakafanikisha. We unavopokea 2 kila kitu na mwenzio anaejitahidi kutafuta maarifa mapya nani nd anaumbuka hapo? Shame on you kutaka binadamu wenzio washindwe kutafuta maarifa eti kisa utaumbuka. Mtu kama huyu unakuta ana ilaumu serikali kuhusu maish. Haya jamani hapa serikali itapata nini tukija upande wa pili hhhhh. Nchi hii haiendelei ni wananchi dini zilizozidi uwezo wa ufikiri dini za kitumwa na kutawaliwa. Na log off. I'm truly hurt rigt now.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sasa mimi ambae nimeishia Madrasa nawakosoa mpaka wakubwa zako na maswali yangu hamuyajibu, nani bora ?

Sisi mbona tunawafundisha elimu ambazo hata wazazi wenu wasingeweza kuwalipia ada yake ila tunawapa bure tu.
Nani ajibu kilaza kama huyu diniani hapa hhhhh. Yani wewe umewahi kutana na elon musk ukamkosoa research zake kweli? Leta ushahidi hapa mahojiano yako we na elon musk au jeff bezos au nasa au rais wa marekani.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hili unalo niuliza mimi nilikuuliza kitambo sana, kwamba uniambie ni njia gani ya Kisayansi au jaribio gani la kisayansi likifanyika kuthibitisha uwepo wa Solar System, lakini ona ulivyo muoga, umezunguka wee lakini umerudi pale nilipo simama mimi, sasa jihi swali.

Pia, siku nyingine tutakuja kuongelea tamko "Discover". Hapo ndipo utakapo jua ya kuwa Sayansi haipo kwa ajili ya kuvumbua wala kumpa mtu ukweli.
Satellite moon exploring telescope hizo za seasons na day and night ni za shule ya msingi za kibongo ambayo n mambo ya kizamani sana sahivi mambo yako wazi

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Acha kukufuru bro tujikite na sayansi 2 sio lazima kumkwaza sir God. In fact adam nd mtu wa kwnza kushuhudia sayansi ya muda wote pamoja na kuhusika rejea kuumbwa kwa eva. Adam alitajia majina wanyama je hyo sio sayansi. Adam aliweza kuzungumza na wanyama hyo sio sayansi. Wakati eva anaza mtoto wa kwanza adam nd aliemzalisha je manurse sio wanasayansi? Vipi swala la kuongea na mtu ukiwa humuoni karibu sio sayansi? Kutengeneza nguo kwa mara ya kwanza sio sayansi? Kusafiri kutoka eden ambayo haikuwa duniani ardhini exactly sio exploring science hiyo? Vipi eva baada kuasi alivokuwa akiumwa alitibiwa na nani? Moto alianzisha nani? Direction ya jua kuzama na kuchomoza na mwezi na nyota wakwanza nani? Halafu sayansi ya unajibu ilikuwepo japo zilitofautiana form kutokan na wakati rejea mamajusi walivoenda kumuona yesu kwa kuongozwa na nyota. Unataka kuamini adam hajawahi kwenda kutalii sehemu nyingne za ulimwengu maan bible inasema alipewa atawale ulimwengu. Then ulimwengu ni nini?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mimi ni atheist siamini habari za mungu (though kimjadala naweza nikajadili kwa dhana ya uwepo wake) na habari zihusuzo uumbaji wake kupitia vitabu vilivyomuelezea.

Kuna mechanism gani kwenye kutaja majina mpaka ukahusisha na sayansi?

Mi naweza nikakuambia hizo ni hadithi za kufikirika tu zisizo na uthibotisho wowote wa kisayansi na ndio maana hakuna ushahidi wakisayansi unaoonesha kwamba nyoka aliongea na adam au eve
 
Back
Top Bottom