Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 611
Sikubishii kwahilo its true kuifanya mars watu waishi ni jambo gumu sana.Nafasi ya kuishi mars ni 1%.
But ninachotofautiana nawewe ni kwamba naamini naona there is a chance so anything is possible u might be right or wrong.
Maana nikiona investment zinazofanywa kwenda mars zinaleta optimism kwamba may be it might be possible. Just mwaka huu tayari qa marekani wame land huko ( sio Mara ya kwanza though)
But this time wachina nao wameweka satellite zao tayari kwenye orbit ya mars zinazunguka huko (tianwen 1)
Waarabu nao wametuma satellite yao kwenye orbit ya mars ( UAE) inaitwa (Hope) ambayo inaenda tumika kuchunguza hali ya hewa ya mars
So hizo project zote I think kuna hope for humanity!!.