Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Nafasi ya kuishi mars ni 1%.
Sikubishii kwahilo its true kuifanya mars watu waishi ni jambo gumu sana.

But ninachotofautiana nawewe ni kwamba naamini naona there is a chance so anything is possible u might be right or wrong.

Maana nikiona investment zinazofanywa kwenda mars zinaleta optimism kwamba may be it might be possible. Just mwaka huu tayari qa marekani wame land huko ( sio Mara ya kwanza though)

But this time wachina nao wameweka satellite zao tayari kwenye orbit ya mars zinazunguka huko (tianwen 1)
Waarabu nao wametuma satellite yao kwenye orbit ya mars ( UAE) inaitwa (Hope) ambayo inaenda tumika kuchunguza hali ya hewa ya mars

So hizo project zote I think kuna hope for humanity!!.
 
Mastcam-Z is a dual-camera system equipped with a zoom function, allowing the cameras to zoom in, focus, and take high-definition video, as well as panoramic color and 3D images of the Martian surface. With this capability, the robotic astrobiologist can provide a detailed examination of both close and distant objects.

The cameras will help scientists assess the geologic history and atmospheric conditions of Jezero Crater and will assist in identifying rocks and sediment worthy of a closer look by the rover’s other instruments. The cameras also will help the mission team determine which rocks the rover should sample and collect for eventual return to Earth in the future.
 
Nafasi ya kuishi mars ni 1%.
miaka 2000 iliyopita kuna mwanadamu alijua kunaweza kuwa na usafiri wa Anga? alijua kunaweza kuwa na kitu kinaitwa camera? au Satellite ambayo inasafisha picha duniani kote in real time?

Usicheze na Technoligia ndugu yangu... Sema wanaweza kuchelewa lakini usiseme NEVER...maana 1% ni kama kitu hakiwezekani.
 
Ebu soma
 
Katika solar system ndo sayari at least INA u afadhali yani inakaribia dunia

Mercury haina haja hata kuongelea, Venus ni balaa tupu warusi walipeleka kifaa I think 1982 kuna joto LA ajabu sana about 350 ° Celsius plus atmospheric pressure 90 times ya dunia maana huko wingu LA ajabu yani kuna mawingu ya sulphur . Vifaa vya kwanza vya warusi vilifinyangwa kama kopo uliminye ule mgandamizo ni hatari hata kifaa chao kilichofika kilikaa mda mfupi tu kikayeyuka pia. Kifupi Venus ni hell

So the last near candidate ni mars ambaye angalau hatishi sana. Tutegemee a lot of mars project and moon projects.
 
Ebu soma
 

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu, huyo maamuma kisha aminishwa katika Hadithi na Quran kua kwenda mwezini itachukua miaka zaidi ya milioni mia tano kwa mwanadamu, yeye haamini kiti chochote kinachopingana na Hadithi na Quran, so usitegemee mtu kama huyu kua na mawazo mbadala na akili ya kuhoji.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mkuu hio ni average temp lakini ujue kwenye equator ya mars temp inakuwa around 35 degree Celsius kwa mchana ambayo ni normal sana sema balaa usiku wake

All in all temp can can be altered by terraformation

Au wakazi wakwanza waishi kwenye biodomes.
 
Mi sitaki kuamini kitabu chake ndokinamfanya hivi may be tafsiri ya akisomacho Na tabia zake za asili.

Mbona tumesoma Na Muslims wengi wapo very smart Na waelewa sana tu.
 
Sasa shida yote ya nini kuishi kwenye hizo biodomes?
 
Sasa shida yote ya nini kuishi kwenye hizo biodomes?
Hao ni pioneers lakini with time watajenga viwanda vya kuproduce green house gases ambazo zitachochea temp increase Na mambo mengine but all this ni speculation tu tusubiri tuone maana gharama zake sio mchezo wanaweza kuona hizo project sio economically viable wakaacha kuzifund
 
Sasa shida yote ya nini kuishi kwenye hizo biodomes?
Mkuu, Nature ya binadamu ni kuendelea na utafiti kila uchao - tangu enzi ya zana na mawe hadi sasa hivi Nuclear age bado watu wanapambana tu hasa Wazungu na Wa-Asia. Sisi Africa nasi tunapambana kubadilisha Bar lakini wote tuko kwenye mapambano ya maendeleo.

Huko Mars kuna mchangiaji mmoja anasema Tempereature yake ni balaa hakuna kiumbe cha kuishi, ni kweli lakini yawezekana ni future kukawa na nuclear technology ambayo inaweza kuweka conducive atmosphere ya binadamu kuishi - hata kama si kizazi hiki basi labda kijacho.

Techonogia si kitu cha mchezo - achana nacho kabisa.
 
Sawaa.vipi kuhusu muda huko mars.
Namaanisha,sekunde,dakika,SAA,
Siku,wiki,mwezi na mwaka n.k
Huko mars vitakuwa kama huku duniani au watabadilisha?
 
Sawa.Ila tungeimaliza kwanza dunia.
 
Sawa.Ila tungeimaliza kwanza dunia.
Hapana, tumegawana shughuli - kina mmoja na section yake - wengine wanatafuta namna ya kusafiri kutoka London hadi USA kwa dk 30 tu kwa kutumia Space craft.. tayari wako kwenye final touches nafikiri kabla hatujaondoka duniani tutashuhudia hiyo kitu.
 
Angalia huo umbali wa kutoka duniani mpaka Mars..
Kilometres 222 millions.
Hapana, tumegawana shughuli - kina mmoja na section yake - wengine wanatafuta namna ya kusafiri kutoka London hadi USA kwa dk 30 tu kwa kutumia Space craft.. tayari wako kwenye final touches nafikiri kabla hatujaondoka duniani tutashuhudia hiyo kitu.
 
Angalia huo umbali wa kutoka duniani mpaka Mars..
Kilometres 222 millions.
View attachment 1715599
Tunarudi pale pale kwamba huenda technologia ikatengeneza kifaa kinakwenda 30m Km per hour...haya mambo yanawezekana kwenye zama hizi za nuclear usizibishie. Sisi waafrica weusi ndiyo bado tupo gizani. Hicho kifaa tu kilichokwenda Mars Project nzima imetumia 6 Trillion Tshs - yaani makusanyo yetu ya sasa ya miezi sita bila kula hata senti tano.
 
Sawaa.vipi kuhusu muda huko mars.
Namaanisha,sekunde,dakika,SAA,
Siku,wiki,mwezi na mwaka n.k
Huko mars vitakuwa kama huku duniani au watabadilisha?
Kama sisi tutakuwa the first intelligent creatures tutaamua sisi ku define time.

Kama tukiamua kusyncronize muda wa mars uwe sawa Na earth ( tuite labda human time).

Au mars iwe independent Na time system yake kwanza Siku ya mars haitofautiani sana Na ya dunia ni kama tofauti ya dk 40 hivi give or take hata seasons zipo NNE pia sema tu martian seasons ni ndefu zaidi kutokana Na kuwa Na revolution ndefu zaidi around jua
 
Sawa. Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…