mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kama sisi tutakuwa the first intelligent creatures tutaamua sisi ku define time.
Kama tukiamua kusyncronize muda wa mars uwe sawa Na earth ( tuite labda human time).
Au mars iwe independent Na time system yake kwanza Siku ya mars haitofautiani sana Na ya dunia ni kama tofauti ya dk 40 hivi give or take hata seasons zipo NNE pia sema tu martian seasons ni ndefu zaidi kutokana Na kuwa Na revolution ndefu zaidi around jua
Hii ya miaka milioni mia tano ? Umeipata wapi ?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu, huyo maamuma kisha aminishwa katika Hadithi na Quran kua kwenda mwezini itachukua miaka zaidi ya milioni mia tano kwa mwanadamu, yeye haamini kiti chochote kinachopingana na Hadithi na Quran, so usitegemee mtu kama huyu kua na mawazo mbadala na akili ya kuhoji.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna vitu viwili au vitatu hapa :Kiukweli Mkuu hushashindikana hapa jf sijui kama kuna MTU anaweza argue nawewe akiamini ataku convince anything
Wewe unajua kila kitu, haukubali kushindwa , unakuaa umeshajiandaa kubisha kwahio majadiliani yanakuwa ya bure, pia tayari una belief yako kwamba ulichokisoma au kufundishwa ndonukwelii.
Najua utabisha hapa ila ndo ukweli.
Hapo ndo unapokosea sheikh kwenye mijadala ya sayansi wewe unataka kuleta nukuu za hadithi Na Qur'an huku ukijua fika kwamba hivo vitabu ni vya kiiamani so vinaweza mconvince anaye viamini tu.Kuna vitu viwili au vitatu hapa :
1. Unapojadiliana na mtu, lengo liwe kuwasilisha ukweli kama unao na si kumshawishi, ukiulizwa maswali unajibu, jambo kama hujui unasema hujui, sababu kusema hujui ni nusu ya elimu. Sasa humu mkiulizwa maswali hamjibi, mnakimbiloa kutoa tuhuma za kuwa fulani mbishi.Hili halibadilishi ukweli ya kuwa wengi wenu hamjui kuhoji na hamyaelewi mambo kama yalivyo.
2. Katika mjadala si lazima kufikia muafaka, lazima ni kutoa hoja na kuweka wazi ukweli kama unao.
3. Hakuna mtua anaye jua kila kitu, hakuwepo wala hatokuwepo. Mangapi ya kweli tunayakubali na tuna kiri hili kweli. Sasa msitulazimihe tuwe kama nyinyi msio jua kuhoji, na kutuletea habari za "Ndiyo mzee".
4. Mashuleni tumefundishwa mengi sana ya uongo, ila ukiamua kutafakari na kuhoji unaona kabisa hili si sawa, kwahiyo tuendelee kukubali kisa ni sayansi au historia ? Sasa siyo kile nilichofundishwa na nakiamini bali ukweli huwa nauchukua nakuufanyia kazi, na hivi ndivyo nilivyo mimi.
5. Ama kuhusu Qur'aan na Hadithi sahihi za mtume, viwili hivi ni ufunuo na ni kweli,ukiona umeenda navyo kinyume ituhumu akili yako na elimu ya kuwa vimekuwa vidogo kung'amua jambo husika. Hapa tuna weza kuwapa kazi nyinyi mpaka mnakufa muikosoe Qur'aan au Hadithi walau mstari mmoja hamtaweza na hakuna aliye weza,achilia wale wa mwanzo walio wabobezi kuanzia lugha mpaka kuhoji,mje nyinyi hata lugha zenyewe hamjui.
Hii ya miaka milioni mia tano ? Umeipata wapi ?
Kushindwa kwenu kuhoji si ndiyo kuna wafanya mpokee kila mnachokiona na kukisikia.
Mpaka mnakufa kielimu hakuna anaye weza kuikosoa Qur'aan wala Hadithi.
Mnachoshindwa nyinyi hata kuyatetea mawazo yenu hamuwezi.
Kuna vitu viwili au vitatu hapa :
1. Unapojadiliana na mtu, lengo liwe kuwasilisha ukweli kama unao na si kumshawishi, ukiulizwa maswali unajibu, jambo kama hujui unasema hujui, sababu kusema hujui ni nusu ya elimu. Sasa humu mkiulizwa maswali hamjibi, mnakimbiloa kutoa tuhuma za kuwa fulani mbishi.Hili halibadilishi ukweli ya kuwa wengi wenu hamjui kuhoji na hamyaelewi mambo kama yalivyo.
2. Katika mjadala si lazima kufikia muafaka, lazima ni kutoa hoja na kuweka wazi ukweli kama unao.
3. Hakuna mtua anaye jua kila kitu, hakuwepo wala hatokuwepo. Mangapi ya kweli tunayakubali na tuna kiri hili kweli. Sasa msitulazimihe tuwe kama nyinyi msio jua kuhoji, na kutuletea habari za "Ndiyo mzee".
4. Mashuleni tumefundishwa mengi sana ya uongo, ila ukiamua kutafakari na kuhoji unaona kabisa hili si sawa, kwahiyo tuendelee kukubali kisa ni sayansi au historia ? Sasa siyo kile nilichofundishwa na nakiamini bali ukweli huwa nauchukua nakuufanyia kazi, na hivi ndivyo nilivyo mimi.
5. Ama kuhusu Qur'aan na Hadithi sahihi za mtume, viwili hivi ni ufunuo na ni kweli,ukiona umeenda navyo kinyume ituhumu akili yako na elimu ya kuwa vimekuwa vidogo kung'amua jambo husika. Hapa tuna weza kuwapa kazi nyinyi mpaka mnakufa muikosoe Qur'aan au Hadithi walau mstari mmoja hamtaweza na hakuna aliye weza,achilia wale wa mwanzo walio wabobezi kuanzia lugha mpaka kuhoji,mje nyinyi hata lugha zenyewe hamjui.
Hapa ndipo tunapopishana,lakini huenda ukawa hujui lengo la Sayansi na Qur'aan ni nini, malengo ni kuujua ukweli na kuufanyia kazi, sasa vipi katika kuutafuta ukweli ubague njia zinazo fikisha watu kwenye ukweli ?Hapo ndo unapokosea sheikh kwenye mijadala ya sayansi wewe unataka kuleta nukuu za hadithi Na Qur'an huku ukijua fika kwamba hivo vitabu ni vya kiiamani so vinaweza mconvince anaye viamini tu.
Hapa umeongea uongo ambao huwezi kuuthibitisha na unaonyesha ya kuwa huvijui vitabu hivyo hapa nazungumzia Qur'aan na Hadithi. Mathalani katika fani ya Hadithi, hakuna fani yoyote unayoijua hapa duniani yenye kanuni nzuri na za kistaajabisha kuzidi kanuni zilizomo katika fani ya Hadithi. Hapa nakuuliza swaki moja tu la msingi, kisha nitakuonyesha maajabu yaliyomo katika fani ya hadithi. Unaamini ya kuwa George Washington alikuwepo au Isaac Newton alikuwepo au Plato ? Swali linakuja hapa kipi kilikufanya ukaamini uwepowa watu hao ? Je unao ushahidi wa mtu anbaye amewaona watu hao kisha akasema "Nikimuona Newton akifanya kadha wa kadha au akisema hivi na hivi ?"sababu hakuna methodology inayoeleweka kwenye hivo vitabu itakayo elezea namna hayo yaliyomo yalipatikana.
Hadithi hukataliwa kwa sababu nyingi, miongoni mwa sababu hizo zipo za kihistoria, yaani kuna watu baada ya Mtume kufariki wakaanza kuzua mambo yao na kuingiza imani zao potofu katika Uislamu hasa wale ambao walikuja kusilimu na kuwa waislamu wakawa wanaingiza imani katika uislamu, wapo waliokuja kudai utume, kutokana na hali hizi pakawekwa kanuni za kuchuja kipi sahihi na si sahihi, kwa kurejea katika msingi wa asili ambao ni Qur'aan na mafundisho ya Mtume. Hukuti misingi bora na mizuri kuliko misingi ya kukubali hadithi na kuikataa ambayo ipo katika Uislamu.Hafu pia vitabu vya dini vingi vipo subject to interpretation za wahusika ndomana kuna Sunni,shia,Baha'i sijui ahmaddiya Na wengine. Hata hizo hadithi nyingine mnazikataa wengine hamziamini kabisa.
Nimekuuliza kwa sababu nime google na hizo video/picha hakuna. Badala yake nimepata yafuatayo:Mambo mengine bwana! Kwani hujui kutumia search engines za mtandaoni? Tafuta mwenyewe, mimi nimekupatia lead - unless kama umepania kuleta ubishi 4 the sake ya ubishi - naona huko ndiko unako elekea, kama ungekuwa na nia ya kujifunza kitu ungetafuta mwenye and not reverting back to me 4 some clarification - I hope the pen has dropped - Goodday.
Ndiyo maana nikasema hivi ukiona kuna shida kwanza ituhumu akili na elimu yako."Mkojo wa ngamia una madhara kwa binadamu utabisha"......"kusema kwamba Jua halizami kwenye matope,utabisha"........"kusema kwamba dunia sio tambala(flat earth),utabisha".....ila uamuzi ni wako binafsi mkuu, siwezi bishana na hilo.
Harmonize anatoka na kajala nd habari kuu bongo. Ko siwezi kukulamumu.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
swala la kuwepo au kutokuwepo kwa washington ama newton ama Muhammad ama kristo sio suala la kiimani kuna enough historical materials kuthibitisha walipata kuwepo katika hii dunia yes.Hapa ndipo tunapopishana,lakini huenda ukawa hujui lengo la Sayansi na Qur'aan ni nini, malengo ni kuujua ukweli na kuufanyia kazi, sasa vipi katika kuutafuta ukweli ubague njia zinazo fikisha watu kwenye ukweli ?
Lakini hata kwenye Sayansi kuna imani, mfani ukifatilia asili ya nadharia ya Solar System ni kwa waabudu Jua, wazo hili kilikuwepo hata kabla ya kina Coeonicus kuja. Tofauti na dini,dini ni imani na uhalisia ambao upo.
Hapa umeongea uongo ambao huwezi kuuthibitisha na unaonyesha ya kuwa huvijui vitabu hivyo hapa nazungumzia Qur'aan na Hadithi. Mathalani katika fani ya Hadithi, hakuna fani yoyote unayoijua hapa duniani yenye kanuni nzuri na za kistaajabisha kuzidi kanuni zilizomo katika fani ya Hadithi. Hapa nakuuliza swaki moja tu la msingi, kisha nitakuonyesha maajabu yaliyomo katika fani ya hadithi. Unaamini ya kuwa George Washington alikuwepo au Isaac Newton alikuwepo au Plato ? Swali linakuja hapa kipi kilikufanya ukaamini uwepowa watu hao ? Je unao ushahidi wa mtu anbaye amewaona watu hao kisha akasema "Nikimuona Newton akifanya kadha wa kadha au akisema hivi na hivi ?"
Ndiyo maana ninaposema ya kuwa hakuna vya kusudi viwili hivyo katika matini wala katika utaratibu mzuri wa ukusanywaji wa viwili hivyo.
Ukisha amini dini fulani huwezi toa hoja ya kutafuta ukweli sababu moja msingi wa dini ni kuamini bila kuhoji. Ndomana kwenye dini kuna kufuru. Ndiomana kamwe huwezi argue objectively sababu upo driven zaidi na beliefs kuliko intellectHapa ndipo tunapopishana,lakini huenda ukawa hujui lengo la Sayansi na Qur'aan ni nini, malengo ni kuujua ukweli na kuufanyia kazi, sasa vipi katika kuutafuta ukweli ubague njia zinazo fikisha watu kwenye ukweli ?
Lakini hata kwenye Sayansi kuna imani, mfani ukifatilia asili ya nadharia ya Solar System ni kwa waabudu Jua, wazo hili kilikuwepo hata kabla ya kina Coeonicus kuja. Tofauti na dini,dini ni imani na uhalisia ambao upo.
kitendo cha kuleta tu quaran na hadithi kwenye majadiliano ya kisayansi hasa sayansi ya anga ni kukosa busara. sayansi ya anga iko too complicated na ni pana mno. Unacho fanya Jurjani ni kuokoteza okoteza viji article mtandaoni kutoka kwa conspiracy theorists na religious websites na kuleta hapa jfHapa umeongea uongo ambao huwezi kuuthibitisha na unaonyesha ya kuwa huvijui vitabu hivyo hapa nazungumzia Qur'aan na Hadithi. Mathalani katika fani ya Hadithi, hakuna fani yoyote unayoijua hapa duniani yenye kanuni nzuri na za kistaajabisha kuzidi kanuni zilizomo katika fani ya Hadithi. Hapa nakuuliza swaki moja tu la msingi, kisha nitakuonyesha maajabu yaliyomo katika fani ya hadithi. Unaamini ya kuwa George Washington alikuwepo au Isaac Newton alikuwepo au Plato ? Swali linakuja hapa kipi kilikufanya ukaamini uwepowa watu hao ? Je unao ushahidi wa mtu anbaye amewaona watu hao kisha akasema "Nikimuona Newton akifanya kadha wa kadha au akisema hivi na hivi ?"
Ndiyo maana ninaposema ya kuwa hakuna vya kusudi viwili hivyo katika matini wala katika utaratibu mzuri wa ukusanywaji wa viwili hivyo.
Hoja yako haa iko wapi ?Ukisha amini dini fulani huwezi toa hoja ya kutafuta ukweli sababu moja msingi wa dini ni kuamini bila kuhoji. Ndomana kwenye dini kuna kufuru. Ndiomana kamwe huwezi argue objectively sababu upo driven zaidi na beliefs kuliko intellect
sayansi ni sayansi sio imani. Hata kama theory iko vague kiasi gani at least utakuta effort ya kui present objectively na kuna pee reviews na ni ruksa ku discredit theory ya mwengine chamsingi uje na stronger arguments na sio porojo
kitendo cha kuleta tu quaran na hadithi kwenye majadiliano ya kisayansi hasa sayansi ya anga ni kukosa busara. sayansi ya anga iko too complicated na ni pana mno. Unacho fanya Jurjani ni kuokoteza okoteza viji article mtandaoni kutoka kwa conspiracy theorists na religious websites na kuleta hapa jf
huwezi ku
Dini gani hiyo ina msingi wa kuamini bila kuhoji ? Ngoja nikusaidie jambo moja, hili sasa ndiyo naliona katika Sayansi, hata wewe unalo, kama utakuwa mkweli nina uhakika kabisa, hujawahi kuhoji kuhusu mtu kwenda mwezini, hujawahi kuhoji kuhusu nadharia ya Kepler's, au Theory of Relativity, au ishu Black Hole, na mfano wake katika nadharia za kifizikia. Ndiyo maana mnaishi katika ujinga na kubebeshwa mizigo na sumu za ukayeye.Ukisha amini dini fulani huwezi toa hoja ya kutafuta ukweli sababu moja msingi wa dini ni kuamini bila kuhoji. Ndomana kwenye dini kuna kufuru. Ndiomana kamwe huwezi argue objectively sababu upo driven zaidi na beliefs kuliko intellect
Sayansi nayo ni Imani, sababu kuna nadharia nyingi ambazo hazijathibitishwa kisayansi lakimi mnaziamini na kuona kweli, mathalani Black Hole, Issue ya Infinity,Relativity,Heliocentric na mengine kibao.sayansi ni sayansi sio imani. Hata kama theory iko vague kiasi gani at least utakuta effort ya kui present objectively na kuna pee reviews na ni ruksa ku discredit theory ya mwengine chamsingi uje na stronger arguments na sio porojo
Hii sayari haitwi mirihi bali inaitwa MihiliShirika la Marekani la Utafiti wa Anga (NASA) limesema ndege yake ya utafiti imefanikiwa kutua katika Sayari ya Mirihi (Mars) imefanikiwa kutua salama na kushusha kifaa cha utafiti kilichopewa jina Perseverance katika sayari hiyo nyekundu.
View attachment 1705902
Hii ni hatua mpya katika utafiti wa anga za juu, ambapo kifaa hicho chenye ukubwa unaolingana na gari dogo kitakusanya sampuli za mawe kutoka katika sayari hiyo na kuyaleta duniani kwa mara ya kwanza katika historia ya mwanadamu.
Lengo la kutuma kifaa hicho cha utafiti ni kuangalia uwezekano wa kuwapo uhai katika sayari hiyo ya nne katika Sayari za Mfumo wa Jua, na kitapeleleza kwa muda wa miaka miwili.
Kwa sasa, wahandisi na wafanyakazi wa NASA wanashusha pumzi ya ahueni baada ya chombo hicho kufanikiwa kutua, kwani ni takriban nusu tu ya vyombo vya anga vilivyowahi kutumwa katika Sayari Nyekundu vimefanikiwa kutua salama!
Matokeo ya utafiti utakaofanywa na chombo Perseverance utamsogeza mwanadamu karibu zaidi na lengo la siku moja kuishi katika Sayari ya Mirihi. Licha ya kutumia gharama kubwa ya zaidi ya dola bilioni 3 (Sawa na zaidi ya Tsh. trilioni 6 na bilioni 900), NASA ina matumaini ya kupata matokeo yenye kulingana au zaidi ya thamani hiyo ya fedha kutokana na utafiti huo.
Chombo hicho kimetua karibu na eneo lililopewa jina Kreta ya Jezero, bonde lenye upana wa kilomita 12 lililopo karibu na Ikweta ya sayari hiyo. Eneo hilo linaaminika kuwahi kuwa na mto uliotengeneza delta zaidi ya miaka bilioni 3.6 iliyopita, hivyo kufanya uwezekano wa kuwapo viumbe hai au masalia ya viumbe hai kuwa mkubwa.
Marekani inapewa changamoto na mataifa ya China na Umoja wa Falme za Kiarabu ambao pia wametuma vyombo vyao vya anga katika Sayari hiyo Nyekundu kupeleleza uwezekano wa uwepo wa uhai. Wingi wa shughuli za anga katika sayari hiyo kunaifanya kuwa kitovu cha utafiti wa anga za juu kwa takriban kipindi cha karne ijayo.
black holes are purely theoretical no person has seen one yet lakini uletapo hoja ya kupinga existence ya black holes uje scientifically we want to see some equations from you mr Jurjani akina einstein,Karl Schwarzschild na kina hawking hawakuja na mikono mitupu walileta equations so im all yours kama utakuja na equations or some kind of experiment kuwa disprove/discreditSayansi nayo ni Imani, sababu kuna nadharia nyingi ambazo hazijathibitishwa kisayansi lakimi mnaziamini na kuona kweli, mathalani Black Hole, Issue ya Infinity,Relativity,Heliocentric
Sasa kwanimi msiwaulize hao kwanza watoe maelezo ya kisayansi kisha mtuulize sisi ?black holes are purely theoretical no person has seen one yet lakini uletapo hoja ya kupinga existence ya black holes uje scientifically we want to see some equations from you mr Jurjani akina einstein,Karl Schwarzschild na kina hawking hawakuja na mikono mitupu walileta equations so im all yours kama utakuja na equations or some kind of experiment kuwa disprove/discredit
wameshayatoa yao ndiomaana tunazisoma nakuzielewa ila wewe mr Jurjani kazi yako ni ongea ongea tu ukitaka kupinga hizo concepts andika paper tusome tuone how deep you are in astrophysics and cosmology wasomi duniani wanapimwa kwa papers wachapishazo sio kelele za jf.Sasa kwanimi msiwaulize hao kwanza watoe maelezo ya kisayansi kisha mtuulize sisi ?
Pili, nani alikudanganya ukipinga Sayansi lazima utumie njia za kisayansi, kama unaamini ya kuwa Black Hole haina ithibati, vipi utake ithibati ya kisayansi kwa jambo ambalo halijathibitishwa kisayansi ?
Tatu, hizo equaations zilifata taratibu gani za kisayansi mpaka zikawa equations ? Mathalani formula ya E=mc2 msingi wake si wa Sayansi ni nadharia, sasa kwanini hamkuhoji ukweli wa hii kanuni ?