Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Adam na hawa waliishi duniani.sio mars wala Jupiter n.k
Nandio sayari ambayo mungu ameweka
Kumbe upo kwenye imani za kidini na sio za kisayansi,which 3 diferent things, kisayansi ni hivi at mwanzo dunia ilikuwepo tu na wanyama wengi tu na viumbe jamii ya nyani mwanadamu hakuwepo guest strangers walisavei hapo na kupapenda sana lakini hali ya hapa kwao ilikuwa ngumu kidogo ndipo walipotafuta kiumbe kinachofanana nao wakaona sokwe some how anafanana nao hapo ndipo majaribia yalipoanza ili kupata super creature walifanikiwa lakini walizalisha jamii iliyokuwa na maumbile makubwa sana ikiwa na akili zaidi ya sokwe lakini isiyoikaribia akili yao lengo kuu ikiwa ni kuzalisha servant kwa ajiliya mambo yao mbali hadithi ni ndefu mno ni kitabu kisichoruhusiwa kabisa duniani kilipatikana mapangoni 1345 red sea.
 
Any evidence na special facts kuprove kwamba ni uongo?
swali zuri umemuuliza.Binadamu wa kale hata kanisa waliamini dunia sio mviringo ni kama sahani.Galileo Galilei alivyowaambia kanisa likamjia juu hata kutaka kumuua.Mbona kanisa baadae lilikubali na papa akaomba radhi hivi karibuni papa Paul marehemu uzuri wanasayansi wanakwenda na ushahidi
 
Mars haitakuja kukaliwa na wanadamu kamwe.kumbuka haya maneno yangu
Kumbe upo kwenye imani za kidini na sio za kisayansi,which 3 diferent things, kisayansi ni hivi at mwanzo dunia ilikuwepo tu na wanyama wengi tu na viumbe jamii ya nyani mwanadamu hakuwepo guest strangers walisavei hapo na kupapenda sana lakini hali ya hapa kwao ilikuwa ngumu kidogo ndipo walipotafuta kiumbe kinachofanana nao wakaona sokwe some how anafanana nao hapo ndipo majaribia yalipoanza ili kupata super creature walifanikiwa lakini walizalisha jamii iliyokuwa na maumbile makubwa sana ikiwa na akili zaidi ya sokwe lakini isiyoikaribia akili yao lengo kuu ikiwa ni kuzalisha servant kwa ajiliya mambo yao mbali hadithi ni ndefu mno ni kitabu kisichoruhusiwa kabisa duniani kilipatikana mapangoni 1345 red sea.
 
Shirika la Marekani la Utafiti wa Anga (NASA) limesema ndege yake ya utafiti imefanikiwa kutua katika Sayari ya Mirihi (Mars) imefanikiwa kutua salama na kushusha kifaa cha utafiti kilichopewa jina Perseverance katika sayari hiyo nyekundu.

View attachment 1705902

Hii ni hatua mpya katika utafiti wa anga za juu, ambapo kifaa hicho chenye ukubwa unaolingana na gari dogo kitakusanya sampuli za mawe kutoka katika sayari hiyo na kuyaleta duniani kwa mara ya kwanza katika historia ya mwanadamu.

Lengo la kutuma kifaa hicho cha utafiti ni kuangalia uwezekano wa kuwapo uhai katika sayari hiyo ya nne katika Sayari za Mfumo wa Jua, na kitapeleleza kwa muda wa miaka miwili.

Kwa sasa, wahandisi na wafanyakazi wa NASA wanashusha pumzi ya ahueni baada ya chombo hicho kufanikiwa kutua, kwani ni takriban nusu tu ya vyombo vya anga vilivyowahi kutumwa katika Sayari Nyekundu vimefanikiwa kutua salama!

Matokeo ya utafiti utakaofanywa na chombo Perseverance utamsogeza mwanadamu karibu zaidi na lengo la siku moja kuishi katika Sayari ya Mirihi. Licha ya kutumia gharama kubwa ya zaidi ya dola bilioni 3 (Sawa na zaidi ya Tsh. trilioni 6 na bilioni 900), NASA ina matumaini ya kupata matokeo yenye kulingana au zaidi ya thamani hiyo ya fedha kutokana na utafiti huo.

Chombo hicho kimetua karibu na eneo lililopewa jina Kreta ya Jezero, bonde lenye upana wa kilomita 12 lililopo karibu na Ikweta ya sayari hiyo. Eneo hilo linaaminika kuwahi kuwa na mto uliotengeneza delta zaidi ya miaka bilioni 3.6 iliyopita, hivyo kufanya uwezekano wa kuwapo viumbe hai au masalia ya viumbe hai kuwa mkubwa.

Marekani inapewa changamoto na mataifa ya China na Umoja wa Falme za Kiarabu ambao pia wametuma vyombo vyao vya anga katika Sayari hiyo Nyekundu kupeleleza uwezekano wa uwepo wa uhai. Wingi wa shughuli za anga katika sayari hiyo kunaifanya kuwa kitovu cha utafiti wa anga za juu kwa takriban kipindi cha karne ijayo.
Wanaume kazini,harafu wanatokea wapuuzi fulani,wanadai wazungu/mabeberu wanatuhujumu,wanatuonea gere,
Watu wanawaza makubwa,waache maswala ya kitekinoloji,wawaze utoporo wa ccm bongo

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uongo. wametoa video wanashangilia eti ndio tuamini. Wana msemo if you cannot make it fake it
ww una fact na evidence zozote kuwa ni uwongo?
tafadhali tuwekee ushahidi wowote hapa
 
Nilitaka kusema hivyo hivyo. hawa jamaa tangu waje na ile movie ya kumuua osama huku obama anaangalia live ndio mimechoka. wana msemo wao if you cannot make it fake it.
timu maalum ilikuwa imevaa mounted helement with camera. hiyo ni moja ya special forces operating equipments.
nimekushangaa sana maana unaona haiwezekani wakati ni kitu kipo.
 
Mars haitakuja kukaliwa na wanadamu kamwe.kumbuka haya maneno yangu
kwamba ww ni Mungu. kaka science hupingwa na science sio porojo au imani.
kama ulifanya research ukaona hakufai kukaliwa na mwanadamu.. yes nakuunga mkono.

lakin kama uko kijiweni halaf hujawahi kufanya research yoyote.. hizo ni porojo.
na dua lakuku halimpati mwewe..
aliefanikiwa kakuzid na itabaki hivyo.
 
Aliyeziumba hizo sayari ambazo HAO wanasayansi wanakwenda kuzifanyia utafiti ni Nani?.
Na Nani aliyetuweka hapa duniani?

Oxygen inazalishwa na mimea tu mzee baba, acha uoga ikioteshwa miti tu kule Mars kwisha habari.

Kuhusu kwenda, sio lazima mimi na wewe kuhamia... wanapelekwa sampuli wachache tu wakazaliane na kuijaza Mirihi![emoji2957]
There is no rain on Mars because the low temperatures and pressures mean water can only exist as vapor or ice..Je,? Hiyo mimea itaotaje!?
 
Nini faida ya watu ya kwenda kuishi mars.?
Ni reserve kwa ajili ya human species anything can happen on earth inaweza kuwipe all human race.

Its not a bad thing kuwa Na makazi tofauti kupunguza probability ya human extinction.
 
Aliyeziumba hizo sayari ambazo HAO wanasayansi wanakwenda kuzifanyia utafiti ni Nani?.
Na Nani aliyetuweka hapa duniani?
huyo aliziumba ndio amewapa maarifa ya ku explore anga za mbali, kufanya chunguzi mbali mbali na kuvumbua baadhi ya mambo.

otherwise angetaka wasifike. simply angewaondolea huo ufahamu.
 
Kanuni ya uumbaji ina mipaka yake.
Wafanye Tu hizo tafiti.ila kuanzisha .maisha nje ya dunia ni ndoto
kanuni ya uumbaji haijaruhusu watu kufanya research?
haya maarifa Mungu amewakirimia wanadamu wafanyie nini?
 
Back
Top Bottom