Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

Sio hujuma hizo tuu, nasikia hata kadi za marefa zinaweza kuhusika ili wachezaji flani waikose ile mechi ya tarehe 8 ambayo jamaa wa Jangwani inawapeleka puta hata hawataki tarehe ifike mapema! Hivyo nawasihi wachezaji wa Simba katika mchezo wa kesho kucheza kwa tahadhari kubwa! Pia naiomba TFF iitishe kikao cha kamati ya saa 72 kabla ya mchezo wa Jupili ili kama kuna wachezaji watakuwa wamepewa za njano/nyekundu kimizengwe zifutwe!
 
Mdau huyo Jamaa ni Yanga FC ila sema hujamshtukia tu.
Mimi Yanga....!
Hapo nilimchanganya na Mkude kwenye namba 6.
Mi ni Mwanachama kabisa na kadi ninayo ila hii ya Washabiki bado sijaipata.
Tafuta michango Yangu yote ya Kwenye mada za Simba utanikuta nafagilia Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kikosi unachopendekeza kicheze na Azam kinaweza kuifunga Yanga hata goli tano, was was wako ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mechi ya jumapili ni nyepesi na rahisi mbona unatumia nguvu nyingi sana kupanga kikosi?? Madhara ya kuingia na matokeo ni makubwa sana ikiwa ni pamoja na kutuharibia viti vyetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tff wapumbavu sana inakuaje mpaka leo yanga bado wana mechi 2 pungufu. kwanini mechi ya simba na azam isinge hairishwi. au kwasababu simba na timu zingine hazipendi kuongea ndio wanaacha hawa yanga kuwa na upungufu wa mechi mpaka leo. shirikisho wamemaliza tangu mwaka jana lakini bado wana mechi pungufu mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaani ile ya tarehe 4.01. 2020 ilikuwaje kile kikosi. Naona viti ving'olewa tena taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mshaanza kuogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaikwepesha Yanga isijefungwa na Namungo muda huu.
Wanataka kuwachezesha wakati ambao Namungo hatahitaji kuchukua Pwenti za Yanga Yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili linashangaza sana,unajua viongozi wetu wengi hawatumii akili na hawajiamini sio kwenye siasa wala michezo
 
Sesten Zakazaka ,Van pebles ,Kitombise ,Danpol ,Troisième Ceil ,Penison mnaitwa huku.

Hii ndio tuiite homa ya pambano ama? 🤔🤔
Hakuna kitu kama hicho bana. Huyu jamaa hatutakii mema. Hicho kikosi alichoshauri kipangwe dhidi ya Azam si ndio kilitolewa jasho na Stand United? Anataka tufungwe na Azam ili wachezaji wapoteze kujiamini hapo tarehe nane

Kwa taarifa yake Lunyasi wanaingiza kosi la kwanza la mauji hapo kesho kwa sababu tunazitaka point tatu kutoka kwa Azam, na siku ya Yanga tunatimba tena na kosi letu kamili kujichukulia point tatu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…