Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nikweli Jumapili kutakua na bao mbili lakini zitakua dhidi yenu, yaani kibao kitawageukiaAhsante ni mwendo wa mbili mbili tu mpaka jumapili.
Kabisaaaa Mtani halafu manara alisema mufanye hivi eti 😷😷😷 Hahahaaaa.haya bana sisi mashabiki wa simba hatusemi kitu
Tusubiri tuone Ses.Nikweli Jumapili kutakua na bao mbili lakini zitakua dhidi yenu, yaani kibao kitawageukia
Hilo ndio la msingi Shadeeya, na baada ya mechi kwa matokeo yoyote yale tusije na visingizio vya mara muamala umepita, sijui refa shabiki lialia nk🤣🤪Tusubiri tuone Ses.
siunajua aliyetoa huo ubashiri ni mganga, pengine atakuwa ameona mbaliKabisaaaa Mtani halafu manara alisema mufanye hivi eti 😷😷😷 Hahahaaaa.
Pia nimeona uzi mmoja kuna mtu eti amebashiri kwamba mnashinda nne nikasema. Lol
Waganga wenyewe hawa wa Kidigital Mtani. 😂siunajua aliyetoa huo ubashiri ni mganga, pengine atakuwa ameona mbali
hivi bado unaamini kuwa yanga watachukua ubingwa VPL msimu huu?Waganga wenyewe hawa wa Kidigital Mtani. 😂
Hawakawii kukwambia ukienda uende na vocha ya yeye kujiunga bando. 🤣🤣🤣
Niwe mkweli nilishakata tamaa Mtani. Nguvu nimeelekeza FA.hivi bado unaamini kuwa yanga watachukua ubingwa VPL msimu huu?
na kama FA ukikosa na VPL ukawa mshindi wa 3, nini kitatokea?Niwe mkweli nilishakata tamaa Mtani. Nguvu nimeelekeza FA.
Hatutapanda ndege. Tutakuwa busy kukiandaa na kusajili kikosi kilicho bora kwa msimu wa 2020 - 2021 ili tuje kivingine.na kama FA ukikosa na VPL ukawa mshindi wa 3, nini kitatokea?
nasikia mna mpango wa kumuongezea Yikpe mkataba wa miaka 4Hatutapanda ndege. Tutakuwa busy kukiandaa na kusajili kikosi kwa msimu wa 2020 - 2021 ili tuje kivingine.
Unafaa kabisa kuwa kiongozi. Maana wewe ni mkweli, mwaminifu hata kwa nafsi yako mwnyewe na muadilifu piaNiwe mkweli nilishakata tamaa Mtani. Nguvu nimeelekeza FA.
Uwiiii!! Mzigo ule Mtani.nasikia mna mpango wa kumuongezea Yikpe mkataba wa miaka 4
Duuh!!Unafaa kabisa kuwa kiongozi. Maana wewe ni mkweli, mwaminifu hata kwa nafsi yako mwnyewe na muadilifu pia
ni mchezaji mzuri sana, kuna siku nilimshuhudia akiwa mazoezini alitupia magoli 17 peke yakeUwiiii!! Mzigo ule Mtani.
Watakaomuongezea muda basi lazima itakuwa kuna faida wanapata lwa uwepo wake Yanga ila nje ya hapo hafai hata kidogo kucheza Timu ya Wananchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh!!
Hata Mkwasa aliwahi sema hivyo kwamba mazoezini yupo njema ila akija Uwanjani sasa ndio anakuwa kichekesho.ni mchezaji mzuri sana, kuna siku nilimshuhudia akiwa mazoezini alitupia magoli 17 peke yake
teh teh! ila usajili wenu mlioufanya kwa hii misimu miwili ulikuwa ni wa bahati nasibuHata Mkwasa aliwahi sema hivyo kwamba mazoezini yupo njema ila akija Uwanjani sasa ndio anakuwa kichekesho.
Magoli ya mazoezini hatuyataki sie tunataka afunge Uwanjani na sio kuanguka anguka tu na kupoozesha mpira.
Alitukata sana maini huyo Morison. 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1376329
Sent using Jamii Forums mobile app