Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Hali yako vipi mkuu?Shukran mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali yako vipi mkuu?Shukran mkuu
Kuumwa na kichwa sana ni moja ya dalili za virusi vya ukimwi kuhama kutoka kwenye kujificha na kuanza kushambulia kinga ya mwili.
Jaribu kupima maambukuzi ya VVU maana ndugu yangu mmoja tatizo lilipoanza kujidhihirisha alikuwa anasumbuliwa na kichwa sana mpaka walipompima wakakuta yuko positive. Pia kupata maambukizi sio lazima usalitiwe na pia ukisalitiwa sio lazima ukajua kama umesalitiwa. pia unaweza kupata maambukizi kupitia njia zingine. nyembe za saloon na vitu vingine vyenye ncha kali.
chai ya maziwa hii ila haina sukari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuumwa na kichwa sana ni moja ya dalili za virusi vya ukimwi kuhama kutoka kwenye kujificha na kuanza kushambulia kinga ya mwili.
Jaribu kupima maambukuzi ya VVU maana ndugu yangu mmoja tatizo lilipoanza kujidhihirisha alikuwa anasumbuliwa na kichwa sana mpaka walipompima wakakuta yuko positive. Pia kupata maambukizi sio lazima usalitiwe na pia ukisalitiwa sio lazima ukajua kama umesalitiwa. pia unaweza kupata maambukizi kupitia njia zingine. nyembe za saloon na vitu vingine vyenye ncha kali.
chai ya maziwa hii ila haina sukari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]