Chonde chonde msaada wataalam kichwa kinapasuka

Kuumwa na kichwa sana ni moja ya dalili za virusi vya ukimwi kuhama kutoka kwenye kujificha na kuanza kushambulia kinga ya mwili.
Jaribu kupima maambukuzi ya VVU maana ndugu yangu mmoja tatizo lilipoanza kujidhihirisha alikuwa anasumbuliwa na kichwa sana mpaka walipompima wakakuta yuko positive. Pia kupata maambukizi sio lazima usalitiwe na pia ukisalitiwa sio lazima ukajua kama umesalitiwa. pia unaweza kupata maambukizi kupitia njia zingine. nyembe za saloon na vitu vingine vyenye ncha kali.
 
Hii chai ya jioni
 
chai ya maziwa hii ila haina sukari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…