DOKEZO Chonde chonde Serikali ya Awamu ya Sita, mtaleta machafuko nchini

DOKEZO Chonde chonde Serikali ya Awamu ya Sita, mtaleta machafuko nchini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka

1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na misingi, na kuekelea wapiga kura, wanaowaunga mkono, kutokushiriki Uchaguzi Mkuu, kinyume na haki yao Kikatiba.

2) Wanachama na wafuasi wao, hasa CHADEMA, kuzuiwa na kupigwa virungu na Polisi Mahakama kuu kusikiliza kesi ya Uhaini ya Kiongozi wao.

3) Ni hivi karibuni tu Waumini wa dini ya Gwajima walinyimwa haki yao ya Kikatiba kushiriki ibada kwenye kanisa lao lilofungwa pasipo na sababu za msingi.

CHONDE, msichochee vurugu nchini.

NB: Ikitokea vurugu, bila shaka Rais aliyeko madarakani atatimukia kwao visiwani. CHONDE
 
Huwa sijui mnaandikaga mkiwa huko ulaya!
Kwa watanzania wepi wakuleta machafuko?
Au machafuko ya kumwaga takataka barabarani?
 
Huwa sijui mnaandikaga mkiwa huko ulaya!
Kwa watanzania wepi wakuleta machafuko?
Au machafuko ya kumwaga takataka barabarani?
Ulaya ipi mzee si unaona yanayoendelea nchini watu tuna hasira sana
 
Tiyari Gari iko free kuelekea huko viongozi viziwi ,vipofu ,na kukosa maono wanatarajia mambo yatakuwa sawa kama ilivyokuwa Ada
 
Back
Top Bottom