Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka
1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na misingi, na kuekelea wapiga kura, wanaowaunga mkono, kutokushiriki Uchaguzi Mkuu, kinyume na haki yao Kikatiba.
2) Wanachama na wafuasi wao, hasa CHADEMA, kuzuiwa na kupigwa virungu na Polisi Mahakama kuu kusikiliza kesi ya Uhaini ya Kiongozi wao.
3) Ni hivi karibuni tu Waumini wa dini ya Gwajima walinyimwa haki yao ya Kikatiba kushiriki ibada kwenye kanisa lao lilofungwa pasipo na sababu za msingi.
CHONDE, msichochee vurugu nchini.
NB: Ikitokea vurugu, bila shaka Rais aliyeko madarakani atatimukia kwao visiwani. CHONDE