Mambo yapo hiviNa nyie tabia zenu za kulawitiwa (ukabwili) hao waarabu ndio vitu wanapenda kwa hiyo furahieni maisha.
Ushauri wa busara kabisa huu. Ukiona wako kimya, basi ujue ushauri wako umefika, na pia utazingatiwa. Uchawi hauna nafasi kwenye karne hii ya 21!Nawaomba ndugu zangu mkaliepushe taifa na aibu ya kufanya uchawi hadharani kama mlivyofanya kule South Africa. Kikosi cha ushindani mnaaho na mnaweza kupata matokeo huko ugenini. Hivyo nawaomba mjiepushe (walau kwa leo) na tabia hiyo mbaya kwa maslahi mapana ya taifa.
Ahsante
Turudi Maktaba kidogoNa nyie tabia zenu za kulawitiwa (ukabwili) hao waarabu ndio vitu wanapenda kwa hiyo furahieni maisha.
Kuna mtu ame-like comment yakoNa nyie tabia zenu za kulawitiwa (ukabwili) hao waarabu ndio vitu wanapenda kwa hiyo furahieni maisha.
AstakafillullahTurudi Maktaba kidogoView attachment 2513781View attachment 2513782
Waache kabisawatani uchawi uacheni jamani. mtapigwa faini kila siku.
SanaUshauri wa busara kabisa huu. Ukiona wako kimya, basi ujue ushauri wako umefika, na pia utazingatiwa. Uchawi hauna nafasi kwenye karne hii ya 21!
Na hii ilithibitika kabisa
Hopefully leo hawatafanya uchawiWamevaa visit Tanzania alafu wanafanya uchawi hadharani wanalichafua taifa hawa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha mbali sana aiseeMambo yapo hiviView attachment 2513627