Nawaomba ndugu zangu mkaliepushe taifa na aibu ya kufanya uchawi hadharani kama mlivyofanya kule South Africa. Kikosi cha ushindani mnaaho na mnaweza kupata matokeo huko ugenini. Hivyo nawaomba mjiepushe (walau kwa leo) na tabia hiyo mbaya kwa maslahi mapana ya taifa.
Ahsante
Ahsante