Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HahahaI'd yake nimeisahau huyu nilimwambia elf 10 kumi na baba swalehe elf 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaI'd yake nimeisahau huyu nilimwambia elf 10 kumi na baba swalehe elf 20
Tumefungwa auUweke hela kwa simu
Acha mambo zako jamani tunafungwaje aweke hela kwa simu ili atumeTumefungwa au
Ana avatar ya nyumbu hiviHahaha
HahahaAna avatar ya nyumbu hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha mambo zako jamani tunafungwaje aweke hela kwa simu ili atume
Yaan ukimuona mtu ana avatar ya nyumbu mwambie akuje huku atume elf 10 yetuHahaha
Aki nacheeeekaa
Naona tu unanivuruga unataka hela hutaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asipewe huyu baba swalehe yukuhi?Naona tu unanivuruga unataka hela hutaki
Hahaa baba swalehe anaruka ruka tu anakuja na kuondokaAsipewe huyu baba swalehe yukuhi?
Mwambie hela yako ataitoa si unajua mie ndio shahid mkuuHahaa baba swalehe anaruka ruka tu anakuja na kuondoka
Hahah najua na yeye analijua hiloMwambie hela yako ataitoa si unajua mie ndio shahid mkuu
Mdogo wangu fanya mahesabu leoHahah najua na yeye analijua hilo
Haya sasaSimba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Yaan kwako kaka nina 50, baba swalehe 20 na yule mwenye avatar ya nyumbu 10Mdogo wangu fanya mahesabu leo
WoyooooooNaona tu unanivuruga unataka hela hutaki
Kwa hiyo ni 40 mie na wewe eehYaan kwako kaka nina 50, baba swalehe 20 na yule mwenye avatar ya nyumbu 10
Ndiwoooooo zitumwe sasaKwa hiyo ni 40 mie na wewe eeh