Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]
 
Basi nahamia simba kwa mademu wakale !!! [emoji124] [emoji23]
Hama huko kwa mitulinga
Screenshot_2018-04-09-19-55-52.png
nawaona nawaona [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom